Makubwaaaa haya jamaniiii!!! Sasa (1)gari liliiingiaje Nchini bila kulipa kodi Hata centi moja??? Huko TRA kulikuwa shamba la Bibi! (2) yeye Wema haku hakikisha gari lina documents zooooote kutoka huko lilikotoka mpaka kufika Kwenye mikono yake?! Aren't you suppose to check all the paper work? (3) Wema kakosa kabisaa mbunge au Mkuu wa mkoa au waziri wakumsaidia kulipa kodi ya Hilo gari?! Mmmm kweli thamani yake na kazi zake Kama Wema zimeshukaa kiwango !!! Pale mwanzo angeshapata mfadhili faster--- Duu! Mmm! Majangazz!
1 comment:

Post a Comment