Sasa kama mtoto malaika wa mwaka mmoja asoweza kujikinga wala kujitetea ALIMFANYIA ukatili huu je mtu mzima angemfanyaje,shit pommes fritz!!
5 comments:
Anonymous
said...
Fy faen kuna watu watu wana roho za kinyama kabisa sasa malaika kama huyo kwenda kumuua kakukosea nini jamani. Daa sheria ichukue mkondo wake kwa kwatu wakatili kama hao.
Nafikiri kuna uhaba wa elimu Tanzania, watu hawana hata common knowledge of being a family. The authorities need to educate people the meaning of love and the importance of family and respect.
Pia wizara ya afya needs to be more active katika kuangalia afya za watu including mental health pindi wazaliwapo ili kuepuka madhara km hayo. Pengine huyo muuaji ana mental issues lakini jamii yetu inamuona wa kawaida
Uhaba wa elimu uko sahihi plus umeongea a very valid point mental issues aisee nlikuwa nimesahau hili mdau ahsante kwa kunifumbua maana nishaona MIFANO HAI unakuta mfanyakazi anaachiwa watoto ila ukimstudy unaona kabisa something hiko sahihi ukijaribu waambia wenyeji wanakujibu lijinga tu hili na kumpiga juu kuna vitu we have a long way to go,,thank u mdau
Nafikiri watu waliokuwa na influence na serikali hasa wizara ya afya wanaweza ku initiate hii kitu, yani kuwapa idea wahusika nikimaanisha vuongozi wa Tanzania.
Tatizo la Tanzania, viongozi hawana exposure yani hawajui lolote zaidi ya elimu yao ya kibongo na hawataki kujifunza. On top hawataki kuachia madaraka, matokeo yake tuna taifa la watu wanaojiendea endea tuu.
Tuna wa Tanzania wengi tuu wamesoma abroad na wamesomea social services na relevant courses so wana jua hizi issues za families na mental health issues lakini hawapati chances za kupata kazi nchini mwao na ndio matokeo yake hawarudi makwao.
Na hao waliopata chances za kufanya kazi, ideas zao hazisikilizwi sababu viomgozi hawataki kuzidiwa ideas na wafanyakazi walio chini yao.
In short ni taifa la ma selfish, watu hawaweki utaifa mbele wanaweka maslahi binafsi kwanza.
Yes, we have a long way to go ila tunaweza tukiamua
5 comments:
Fy faen kuna watu watu wana roho za kinyama kabisa sasa malaika kama huyo kwenda kumuua kakukosea nini jamani. Daa sheria ichukue mkondo wake kwa kwatu wakatili kama hao.
Jag säger detsamma fyyyyyy i helvete,,hemskt
Nafikiri kuna uhaba wa elimu Tanzania, watu hawana hata common knowledge of being a family. The authorities need to educate people the meaning of love and the importance of family and respect.
Pia wizara ya afya needs to be more active katika kuangalia afya za watu including mental health pindi wazaliwapo ili kuepuka madhara km hayo.
Pengine huyo muuaji ana mental issues lakini jamii yetu inamuona wa kawaida

Post a Comment