Genuine Nordic Vodka
Thursday, April 28, 2016
MBUNGE SULEIMAN SADDIQ MURAD NA HILI!!!
THIS NEWS WAS OUT 3 WEEKS AGO SASA KWANINI HUU MKATE BADO UKO MADUKANI NA KUUZA KWA MAANA THE BAKERY IS STILL PRODUCING THE SAME SHIT USELESS BREAD KWA WANANCHI NA HATA KUWADHURU KIAFYA,,
Katika watu msiojali usalama na afya zenu Watanzania mko mbele yaani hamjuagi KUTETEA au kujitetea haki zenu kama wananchi uoga umewatawala mnoo,,
Mtapiga kelele mitandaoni but whats kelele gonna do without Actions,jiulize!
It is time MUANZE KUTHAMINI afya zenu,maisha yenu no matter what yaani sometimes nikiwa Tanzania naona kitu wazi kabisa mtu ana nyanyaswa wakati ni haki yake ila anakaa kimya na kukubali,,
Dereva wa mabasi anakimbiza gari mnakaa kimya,,
Maboti unauliza life jacket zipo unakalipiwa unakaa kimya,,
Unauliza dokta anatuhudumia saa ngapi nurse anafoka unarudi kukaa na maumivu aisee it is sad and pathetic!
MUNGU IBARIKI TANZANIA WABARIKI VIONGOZI WAKE
HEKIMA,,UMOJA NA AMANI BUT I CANT HELP BUT WONDER SIKU HALI IKIBADILIKA AND PEOPLE CHANGE FOR THE WORSE HIKO NDIO NAOGOPA MIMI
Kumbuka mtu au Ogopa mtu ambae hana chochote cha kuloose kwenye maisha yake maana kiumbe wa hivyo anauwezo wa kufanya na kutenda lolote au chochote,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment