SO WE ARE SELLING INFANTS NOW FOR 1500USD,DEAR GOD!!,
Kuna vitu sijui watamjibu nini Mungu pale Utakapoulizwa KWANINI Ila mwanadamu huwa always ana jibu to justify Alichokifanya,,
Who am I to judge kwani hata mimi nitahukumiwa ila mimi ni nani,ni mtu gani Dini ni mimi MOLA ahsante kwa Imani!!
3 comments:
At first nilishtushwa kuona hii habari but then I had a second thought na nikaona ni bora hao watoto kuuzwa kuliko mama ambaye alibakwa au kahaba kuamua kuzaa na kumtupa chooni. Ila nadhani hilo soko lingekuwa registered kama kituo kinachotambulika ili kuweza kulinda rights za hao watoto maana pengine si kila mwenye kununua mtoto hapo ana nia njema.... just a thought
Nimekuelewa but we cannot deal with humans as goods binadamu sio pochi that we can put a pricetag and then sell,,kwanini makahaba hawajikingi? Kubakwa is one thing but makahaba?kwann wasiwe wanapelekwa into a home where adoption is possible kwa wanaotaka watoto instead ya KUUZA watoto sasa a pedophile comes in na kununua watoto hata 3 ambao atawaabuse sexually na wanawaanzaga wakiwa wadogo sasa tumesaidia nini hapo?
Is there even a background check kwa hao wanakuja kununua watoto?
There has to be a proper way kudeal na viumbe visivyoweza jitetea let alone kuongea!
Aisee hili swala ni pana mnooo anon na kumbuka a child never choose to be born ni sisi wakubwa hufanya hayo maamuzi na kuwa Lea au kuwaweka kwenye mazingira mazuri ni obligation n a must!
That's why i said there is a need ya ku register hicho kituo so as to protect rights of those children....
Post a Comment