Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, April 29, 2016

Happy Birthday Happiness!!!

SO JOSEPH A.K.A SUGU BOUGHT HIS NEW BABE A CAR ILA HELA YA MATUMIZI YA MTOTO IS NOT A PRIORITY  AMA?...KWELI ISHI UYAONE,,,
Ngoja nikasip chai yangu kama yule chura wa green!!

7 comments:

Anonymous said...

Duh ULE msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzako leo umenifanya nI amini unafurahia wakati mwenzio kaachwa na mtoto juu ngachokaa

Anonymous said...

Dah Nuru sijawahi kukomenti kwako ila huyu mdada angejitafakari sana na vitenge anavyofanya.Simuombei mabaya ila tumeyaona kwenye jamii. Asije baadae akatamani ajichimbie kwenye handaki. Angeenda taratibu tu. I think it would be good if she would keep these low. Akumbuke huyu ni mwanaume alofukuza mwanamke mwenzie so historia yaweza jirudia vile vile. Nimewaza na mimi ila its non of my biz kama chura wa kijani

NURU THE LIGHT said...


Anon1.45 niacheee nakunywa chai banaaaa hahaha!!!

Anonymous said...

Mimi kwa upande wangu naona jamii imezoea sana kuwanyooshea vidole wanawake hata kwenye makosa ya wanaume may be ndiyo maana wanaume ha-watake responsibility katika yanayowahusu.

Anonymous said...

Huyu baba angemlea tu yule mtoto wake hata kama hampendi mama ake lakini angelea tu kale kabinti maskini kwel atakuwa mkubwa halafu aje kutukana hukunilea utakusema makosa ya mtoto jamani? Faiza ana mapungufu yake lakini ni mama bora na anampenda na kumjali mwanae leo baba unahonga watu wa kupita tu hiyo gari ungemuhonga mwanao ungetenda la maana na hata mungu angekuongezea zaidi.

Anonymous said...

mambo ya familia tuwaachie wenyewe kwanza hata hatujui mkweli nani sugu au mama mtoto, ukweli wanaujua wao.

Anonymous said...

Nimeshuhudia wadada kama wawili waliojishaua hivi hivi kama huyu aziza. Mwisho wao huwa ni mbaya mno..achana na machozi ya mwenye haki.