Kitu kikubwa jamani nacho shangaa hivi hawa watu uko bongo hawana kazi...? Mtu mzima na Akili yako timamu kutwa uko katika social media kutukana kama una lipwa.. Unaonekana chizi kwanza unatumia fake account kutukania watu, sasa kama wewe mwamba tukana mtu na akujue wewe ni flani. Nyie mnatukana katika mitandao kwa fake account na ndio nyie manao wazunguka hao mnao watukana kujifanya marafiki. Kazi kufuatilia maisha ya watu , yakwenu nani anayajuwa....watu wazima ovyooo, na matusi sii ujanja...... AM
2 comments:
Huyu kaka ni mshenzi sana au katumwa na madame apost
Kitu kikubwa jamani nacho shangaa hivi hawa watu uko bongo hawana kazi...?
Mtu mzima na Akili yako timamu kutwa uko katika social media kutukana kama una lipwa..
Unaonekana chizi kwanza unatumia fake account kutukania watu, sasa kama wewe mwamba tukana mtu na akujue wewe ni flani.
Nyie mnatukana katika mitandao kwa fake account na ndio nyie manao wazunguka hao mnao watukana kujifanya marafiki.
Kazi kufuatilia maisha ya watu , yakwenu nani anayajuwa....watu wazima ovyooo, na matusi sii ujanja......
AM
Post a Comment