Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 6, 2016

HATA SIJUI NIANDIKE NINI MAANA NI MENGI SANA ACHA NIBAKI NAYO KIFUANI,MAY GOD BE WITH YOU RAY C!!!


BACK IN 2012 I WROTE THIS,,,


KAMA HUJAWAHI KUFANYA KAZI AU KUWA NA A FAMILY MEMBER AU HATA RAFIKI ALOWAHI KUPATA HAYA MATATIZO NI NGUMU SANA KUELEWA,,
ADDICTION NI JANGA LA TAIFA SIO TU LA MTU BINAFSI AND NIKISOMA MAONI YA WATU KWENYE FORUM MBALIMBALI NAONA KABISA KUNA IGNORANCE FLANI WHEN IT COMES TO ADDICTION NA HILI JANGA MTAKUJA LIONA BAADAE HUU NDIO KWANZA MWANZO KUNA KAZI KUBWA SANA KWANI SIO TUU ANAYETUMIA NDIO ANAATHIRIKA BALI NI FAMILIA NZIMA.
 LIKE I SAID HUU NI MWANZO TUU
TUNAHITAJI COUNCELLERS,TUNAHITAJI FACILITIES MEANING REHAB NA TUNAHITAJI ELIMU KUHUSU ADDICTION,,
KUNA VITU VIGUMU SANA KUVIELEWA BY SAYING WALITAKA WENYEWE ILA KUMBUKA ONCE AND ADDICT ALWAYS AN ADDICT NA HIKI NI KITU KWA ALIYETUMIA ATAKUWA AKIPIGANA NACHO MAISHA YAKE YOTE SO NAKUSIHI HATA USIJARIBU,MAY GOD HELP US ALL BECAUSE IT CAN HAPPEN TO ANYBODY!!

3 comments:

Anonymous said...



Uliandika vzuri ila ndio hivyo dada yetu inaonyesha amerudi tena huko,inasikitisha

Anonymous said...


hivi kwanini rais alimsaidia huyu tu,,,khaa

Anonymous said...

Yaani anasikitisha sana Ray C. Haya madude si mazuri jamani hao wauzaji kwakweli mungu awalaani vibaya sana.