Genuine Nordic Vodka
Monday, April 4, 2016
JUENI KUTOFAUTISHA KATI YA MSALABA NA KUJUMLISHA!!!
KAMA KWELI AMEANDIKA HIVI NA HII NI ACCOUNT YAKE THEN ITS VERY DISSAPOINTING NA USHAMBA NA IGNORANCE UMECHANGIA,,
KUNA WATU WAMESOMA ILA BADO HAWAJAELIMIKA KUHUSU VITU KADHAA
DIAMOND YUKO NJE YEYE KAMA YEYE AS A BRAND SIO KUTANGAZA VAZI LA TANZANIA,,,SERIOUSLY!!
HAKUNA KITU NACHUKIA KAMA MTU AMPE MZIGO MWENGINE AMBAO YEYE PIA ANAWEZA KUUBEBA BUT THEN AGAIN TYPICAL HIO NDIO BEHAVIOUR YA SOME PEOPLE,,
NYINYI KAMA SERIKALI MLISHINDWA TUU KUANDAA VAZI LA TAIFA LEO MNATAKA KUMPA KAKA WA WATU HIYO KAZI,,WHY AND FOR WHAT
HUYU NI KIJANA MDOGO ANATIZAMWA NA ANA IMAGE YAKE HAYUKO SERIKALINI WALA OFISI YA MTU,,,
KAMA KUITANGAZA TANZANIA WASANII KIBAO WASHAFANYA HIYO KAZI ZAIDI YA NYIE..
HIVI MNAJUA EVERYTIME MTU YOYOTE AKITIZAMA VIDEO YA MSANII YOYOTE YULE FROM TANZANIA TAYARI NI TANGAZO TOSHA LA NCHI,,
ITS ABOUT TIME KILA MTU AJUE JUKUMU LAKE NA ATEKELEZE DESPITE YEYE KUWA MSANII YEYE NI BRAND NA OBLIGATION ALOKUWA NAYO NI KUKUZA BRAND YAKE KAMA DIAMOND PLATINUMZ TU POINT BLANK PERIOD,NIMEMALIZA.COM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
and he writes that while wearing a suit!! LMAO
Umenikosha sana na maelezo yako Nuru big up
well thank you,,,
Post a Comment