KILA SIKU MUOMBE MUNGU UKIWA NA MAHUSIANO NA MKAAMUA KUTENGANA KUWA MWENZAKO ATAHESHIMU NA KUSTIRI KILE KILICHOKUWA NDANI MWENU!!!
KWELI TIMES HAVE CHANGED,,
BABU ZETU NA BABA ZETU DID NOT BEHAVE LIKE THIS
KADHALIKA BIBI ZETU HAWAKUFANYA WALA KUTHUBUTU ILA LEO MWANAUME ANAAMUA KUFUNGUA NA KUTOA YA NDANI?
INDEED TIMES HAVE CHANGED NA NAMNUKUU NDOA YAO NI SIRI YAO!!
4 comments:
Anonymous
said...
Daa haya mambo ni aibu sana why Wastara kama ni kweli hayo wasemayo? Why kutoa mambo ya ndani nje? Sio utamaduni wa mtanzania huu jamani. Hebu tubadilikeni jamani. Sasa faida iko wapi? Kila kitu hadharani sasa.
Huyu Wastara nyie mnaojifanya mnamuonea huruma sana kama kwamba mnamjua sana endeleeni yule ni tatizo kuliko mnavyomjua anyway jamaa kaandika vizuri mademu wa kitanzania wakipata umaarufu kidogo na kujulikana wanajisahau sana wanajiona masupastaa hadi kwenye mahusiano mtaachwa kila ijumaa hakuna mwanaume wa kiafrika atakaemsujudia mwanamke hiyo ni siri nawapa
Wastara anatumia kujulikana kwake kumtesa Mume wake!! Pia kwamtizamo wangu anatumia kilema chake kutaka kuonewa huruma na walimwengu! Kwanini hatulii Kama Mke wa Ndani ya Nyumba? Sielewi anatatizo gani? Anapenda kuzungumziwa sana kwenye magazeti, Insta, Facebook na mitandao mbali mbali!!! Sio vizuri, mwanamke anafurahisha akiwa ametulia, na akiwA msiri pia!!! Duu!
Jamani mbona mnaanika mambo yenu ya ndani huku nje?????????? hayo ni yenu nyie wawili na mkishidwana basi waiteni wazee wenu sisi huku tunawaona hamna hekima tuu. kujichoresha tuu.khaaaaa

Post a Comment