WAKATI NILIKUWA NA LUIS MUNANA NILIKUWA NAMLIPIZIA IDRIS,WEMA SEPETU!!!
WEMA SEPETU AKIONGELEA SAFARI YAO YA MAPENZI ILIVYOANZA MPAKA LEO,,
5 comments:
Anonymous
said...
Mmmh I like this girl, anajua kupenda haswa na mwenyewe yuko wazi kwa kila kitu chake anachofanya. Ingekuwa msichana mwingine asingekubali kuwa alikuwa na uhusiano na Luis kwa ajili ya kumlipizia Idris. Napenda wako na Idris na wanapendana but I think kama angeolewa na mtu aliyemzidi umri kidogo kama miaka 6 mpaka 10 ingekuwa poa sana. I wish them all the best.
Ila Idris sidhani kama ana mambo ya kitoto japo umri wake ni mdogo. Na yeye anajua kupenda sana na amekutana na mwanamke aliyepitia mengi na maumivu mengi na kila aina ya starehe so akiamua kutulia watakuwa na familia yenye raha na amani kweli.

Huyu dada kwa drama hajambo jamni. mmmmh haya ila kila la kheri kwa yote,.
Ila Idris sidhani kama ana mambo ya kitoto japo umri wake ni mdogo. Na yeye anajua kupenda sana na amekutana na mwanamke aliyepitia mengi na maumivu mengi na kila aina ya starehe so akiamua kutulia watakuwa na familia yenye raha na amani kweli.
Idris amekasirikaje sasa....lol
Hahahahaha kibongo bongo I salute you @wema dah!!! All the best
Post a Comment