This happened yesterday a FEMALE student was mobbed by a group of people and was stripped and her car was burned and The Police have no clue to why this occured,,
Mwanafunzi wa kike wa Kitanzania alichomewa gari na kuvuliwa nguo huko Bangalore in India sasa sababu haijulikani,,
Kama ni ubaguzi au road rage we are not sure!
2 comments:
from what I read, an Indian person got ran over by a car, by a Sudanese... and that's how it all started, now all Africans have to pay??!!
Jamani hawa waindi hapana. Hebu niambie dada Nuru hizo nywele zako kwenye hiyo pic ya cover ni natural au ni weaving? na kama ni natural umepaka nini? Ni nzuri kweli.
Post a Comment