Kesi ya kikatiba yafunguliwa kupinga vifungu vya sheria vinavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18,,
KUNA WATU TUNAHITAJI KUWAONGELEA ILI TUZIDI KUWAPA MOYO KWENYE UHARAKATI WAO ESPECIALLY KWAVILE THEY ARE MAKING A BIG DIFFERENCE,,
REBECA GYUMI NILIMUONGELEA MDA KIDOGO WAY BACK KUHUSU ANACHOKIFANYA BUT SHE HAS INSPIRED ME ONCE MORE NA PIA KUNIHAMASISHA NA KUNIAMSHA KUWA AT TIMES WE ARE WASTING SO MUCH TIME ON THE WRONG PEOPLE,,
NINGEOMBA MNIELEWE NIKISEMA WHY WASTE SO MUCH TIME ON NANI ANAMIMBA INSTANGRAM,,
NANI BABA WA NANI INSTANGRAM,,
NANI KAACHANA NA NANI NA NANI KAZAA NA NANI??
IT IS TIME MUAMKE NA KUHAMASISHA ISSUES AMBAZO ZITAKUJA WAGUSA NYIE WENYEWE NA WATOTO WENU,,,
TUNAISHI NCHI AMBAYO KISHERIA INARUHUSU MTOTO WA KIKE AOLEWE CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE??
2016 BADO TUNA SHERIA KAMA HII,,IS THIS FOR REAL,,
SHAME ON YOU TANZANIA,SHAME ON YOU VIONGOZI KWAKUWA HIKI KITU HAKIJAWA DISCUSSED BUNGENI NA KUFANYIWA MAREKEBISHO RIGHT AWAY..
HALAFU MLIVYOKAZANA KUWATAKIA WATU NDOA THIS NDOA THAT IT!S BEYOND ME,,
I AM IN SHOCK NA VERY DISSAPOINTED NA HII SHERIA,,
BACK TO REBECA NATAKA NIKUPONGEZE KWA HILI MAANA KATIKA MILLION WEWE UMEAMUA KUWA MFANO NA KUMAKE A DIFFERENCE,,I AM PROUD OF YOU AND I WISH YOU THE BEST OF LUCK MAANA HII SIO AZI NDOGO NA SAFARI NDIO KWANZA IMEANZA,NIMEMALIZA.COM
HONGERA TANZANIA..NA SISI HATIMAYE TUMESHINDA
Shirika la afya dunia WHO limetoa tarifa kuwa Tanzania imeshika nafasi ya tatu kwa kuwa na watoto wanaoshika mimba utotoni..Nchi ya kwanza ni Nigeria.
Shirika la afya dunia WHO limetoa tarifa kuwa Tanzania imeshika nafasi ya tatu kwa kuwa na watoto wanaoshika mimba utotoni..Nchi ya kwanza ni Nigeria.
HAYA NA TUZO TUMEPATA KUWA NAFASI YA NAMBA 3 WHERE BABIES ARE HAVING BABIES!!
No comments:
Post a Comment