HII NDIO INTERVIEW AMBAYO BOTH SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAKIONGEA KUHUSU KUACHANA KWAO,,
INAWEZA IKAWA KIKI AU INAWEZEKANA KUWA UKWELI BALI TIME WILL TELL,,
BAADA YA KUTIZAMA HII INTERVIEW I GOTTA SAY NUH KANISUPRISE MNOO,,
KIJANA KAONGEA KWA BUSARA NA AKILI,,
KAONGEA KWA MAPENZI JAPOKUWA HAYUKO NA SHILOLE,,
CHA KUSHANGAZA KUNA VITU KAONGEA AMBAVYO SHISHI ALITAKIWA KUVIFIKIRIA BALI HUYU MNAYEMUITA MTOTO NA SIO BABA NDIO KAVIONGEA,,
KILA SIKU MMEKUWA VERY QUICK KUJUDGE NA KUMPOINT KUWA MTOTO ILA NIMEKUJA KUGUNDUA SHISHI KAWEZA KUDUMU NA HUYU NUH BECAUSE YA PERSONALITY YA HUYU NUH,,
KWELI UKUBWA SIO UMRI BALI AKILI YA MTU,,
NANI DUNIA HII ANAACHANA NA WEWE NA BADO ANATAKA KUKUSTIRI TENA STAR
SOMETIMES PEOPLE ARE QUICK TO JUDGE A BOOK BY ITS COVER INSTEAD YA KUKIFUNGUA NA KUKISOMA,,ENJOY THE INTERVIEW BY MILLARD AYO!!
4 comments:
Ukubwa silo umri bali ni akili...kweli kabisa na akili sio lazima uende shule.....Nuhu anajielewa...yani nimempenda masikini Nuh.
Huyu Shilole apunguze bangi, yani zero!!!!!
AM
AMEN SUPRISE BUT A PLEASANT SUPRISE FROM NUH!
Hatujui kilichotokea ila shilole angeangalia upya tu,huu uhusiano.Mwanaume yuko real Shishi naona kajishaua tu.Pia akumbuke wanae,tena asikie huu ushauri wa Nuh.
Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi. Huyu kijana ni mdogo kama wenyewe wanavyosema, ila kwakweli anabusara sana. Shilole atarukaruka ila ipo siku atamkumbuka Nuh. Naungana nawewe hata mimi ameni-suprise.
Post a Comment