Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, January 12, 2016

I SALUTE YOU JOSHUA NASSARI,WE NEED A HUNDRED MORE LIKE YOU!!!


Mh. Nassari(Mbunge wa Arumeru Mashariki) akiwa China katika harakati za kubadilisha mkopo wa gari lake la Ubunge kuwa vitanda vya hospitali na ada kwa yatima Jimboni kwake. Ameanza kufanyia kazi ahadi yake.
Wananchi wako Tunajivunia kuwa nawe. You are one of your kind. Tunamwona Mungu kupitia kazi za mikono yako.

No comments: