Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, January 15, 2016

I HEART MY FIRST GRADE MTUMBA BLOUSE,WHO KNEW!!!



ME AND BEATRICE WERE STROLLING DOWN THE STREETS OF SINZA WHEN SUDDENLY WE PASS BY THIS SHOP AND THEY HAD NICE PIECES SO I ASKED HER HOW MUCH IS THIS ELFU TANO I GO WHAAAT HAHAHHAAH THEN BITE LOOKS AT ME AND SAYS HAWA NGUO ZAO NI FIRST GRADE MITUMBA AM LIKE OOOH,,
THEN NADHAN NILINUNUA 3BLOUSES VERY NICE ONES AND BITE BOUGHT A REALLY CUTE DRESS,,
KUNA WATU TANZANIA WANAJUA KUVAA NA WANACOMBINE MITUMBA YAO KIASI KWAMBA WALE WANAOVAA MAJINA HAWAPENDEZI HATA ROBO YA HAWA WANAOVAA MITUMBA,,
KILA SIKU TOKEA NIMEANZ AKUBLOG NAWAAMBIA FASHION SIO KUVAA MAJINA ITS A LIE MMEDANGANYWA MNUNUE NA PIA KUJIONA MNA THAMANI MKIVAA MAJINA NA MKO JUU ILA KAMA HUJIAMNI NA HUJITAMBUI VAA HATA MILLION 20 KAMA WEWE NI CHEAP YOU WILL BE THAT AND NOTHING MORE,,
HUNA HAJA YA KUSPEND MAMILLION ILI UPENDEZE,,
KUNA WATU KAVAA ELFU 10-15 NA UNAMTAMANI ILA NI SIRI YAKE,,
CHARACTER NI KITU UNACHO NA KINGINE SIO KILA MTU ANA FASHION SENSE WENGINE WANAIGA TUU BILA HATA KUJITIZAMA JE SKINNY JEANS ZINANIPENDEZA AMA???
NA KWA KUIGA TUU HAMJAMBO,,
KUNA SIKU MDAU MMOJA ALICOMMENT NURU UNAVYOVAA HAUNIIMPRESS NIKACHEKA SANA MAANA SIJUI NILIZALIWA KUKU IMPRESS WEWE AS IF USIWE IMPRESSED NA MAFANIKIO YANGU KWA KUWA MIMI NI MWANAMKE,NAJITEGEMEA,NNA BIASHARA ZANGU,MSANII,NNA PROFFESSION UNATAKA UWE IMPRESSED NA VIWALO GADEM UNA AKILI KWELI WEWE???

KNOW YOUR BODY,,
KNOW WHAT LOOKS GOOD ON YOU,,
JIFUNZE KITU GANI MWILINI MWAKO UNATAKA KIWE KINAPENDEZESHWA MEANING YOUR BEST FEATURE INAWEZA KUWA KIUNO,KIFUA,SHINGO,MACHO,LIPS AU MIGUU NA PIA TIZAMA MWILI WAKO ILI UJUE NGUO GANI NA RANGI GANI ZINAKUFAA WEWE KAMA WEWE,,
KUNA WATU WANAMVUTO THEY DON!T NEED TO DO MUCH NA WENGINE YOU HAVE TO PUT TIME HIO NDIO REALITY,,
KUNA WATU WANAPENDA KUWA TOO MUCH EVERYDAY NA KUNA WATU WANAPENDA SIMPLICITY,,
EITHER WAY FIND YOUR NITSCH AND MAKE IT YOU,,NIMEMALIZA.COM

4 comments:

Anonymous said...

Jamani nataka niwaambie kuwa unaweza kupata mtumba mzuri ukavaa kila mtu akakuuliza umepata wapi. mimi binasfi nguo zangu nyingi ni mitumba na mtumba wangu hauzidi elfu tano na ninapendeza sana maana natafuta nguo kuendana na mwili wangu mimi sio mnene ni wa wastani. Nina vigauni na skirt hadi watu kazini wanatamani niwapeleke ninakonunua ila nikiwaambia bei wanaona sijui vipi ila nikivaa wanatamani, so tatizo sio bei wala sijui duka gani linafahamika tatizo ni nguo itakukaa vipi. Wanawake tuamke na tujitambue. Blouze nzuri sana na bei pia ni nzuri.

NURU THE LIGHT said...



WELL SAID MDAU MM NIKIJA NTAKUSHTUA UNIONYESHE SHOST,,,
WANASHANGAA BEI WAKATI WA NATAMANI, ,,OK BYE!

Anonymous said...

those shades look good on you!

conn4heaven said...

penda sana wewe mutu mwanamke anayejielewa kuliko wotr
tanzania nzima nimemaliza .com