Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, January 5, 2016

AND THERE IT WAS!!!


CT -scan Mpya Muhimbili, inaweza pima watu 100 Kwa Siku moja, hii ni hatua Nzuri Kwa Sector ya afya nchini 
Mashine iliyopo sasa ina plate 17 wakati hii Mpya ina plate zaidi ya 100 katika kufanya uchunguzi WA mwili WA mgonjwa

teve George Nchi yenye population ya watu 50 millioni in CT scan moja nchi nzima baada ya miaka 54 ya uhuru na watu wanapiga makofi!!! Wakati magari ya kumwagia maji washa ambayo hayana tija yoyote nchini yamejaa belelee huku yakiwa hayana kazi yoyote na yametafutana mabilioni chungu nzima ya pesa za walipa kodi.

MTU anatoka kigoma kuja kwa CT scan tu? Ningeomba at least kila mkoa kwa kuanzia upewe CT scan 1. Hapo tungesema mwanga umeanza kuonekana sekta ya afya.

 huwezi kufanya yote kwa wakati mmoja,si bora huyu kaingia kwa kipindi kifupi tumepata hata hiyo moja mpya kuliko wengine ambao waliamua kukaa kimya hata ilipoharibika ile iliyokuwepo?am sure kwa mwendo huu kufikia 2020 hospitali nyingi zaidi tz zitakuwa na CT-Scan

Watanzania tuulizane gharama zilizotumika kwenye ukarabati wa mashine ya awali kuanzia Rais alipofanya safari ya kushtukiza mpaka Mawaziri na naibu waliposhtukiza hatma yake tumeishia kununua mpya. Kinachoonekana hapa ni kuwa waheshimiwa walidhani ni uzembe wa kufanya matengenezo kumbe mdude wenyewe ulishafikia kikomo cha matengenezo. Hapa tumewanufaisha watu wa Philips tu. Tufanye vitu kitaalamu tuache kukurupuka bila mpangilio. Kilichofanyika sasa ndo kilichotakiwa toka awali. Tutawalaumu viongozi wa hospitali bure. Yawezekana walishaomba inunuliwe nyingine lakini wizara ikashindwa

No comments: