Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, December 26, 2015

INLIFE ALWAYS HAVE A PLAN B,KUNA SOMO KUBWA SANA KWENYE HIZI PICHA!!





KUNA FUNDISHO KUBWA SANA KWENYE HIZI PICHA
I HAVE TO SAY KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI NILIJIFUNZA MENGI SANA KUHUSU BINADAMU KUPITIA BOTH CANDIDATES TENA CANDIDATES WOTE,,
NTAMUONGELEA HUYU KWAVILE NDIO ALIKUWA THEE BIGGEST TARGET KUTIWA MIDOMONI KWA WATU,,
NADHAN KATIKA WALIODHALILISHWA HUYU ANASTAHILI TUZO LA HEKIMA,UVUMILIVU,BUSARA,SUBIRA NA KUTOKUWA NA CHUKI,,
ALISEMA KAMA NTASHINDWA NITARUDI KUCHUNGA NGOMBE WANGU AND THAT HE HAS FULLFILLED MEANING AMETEKELEZA,,
HUYU ALIKUWA NA NGUVU YA KULETA FUJO LAKINI HAKUTUMIA NJIA HIYO BALI HE TOOK IT LIKE A MAN ALTHOUGH KATIKATI ALIPAMBANA MPAKA MWISHO
SOMETIMES INLIFE WE CAN ONLY GO AFTER OUR DREAMS NA HATA KAMA MATOKEO HAYATAKUWA YALE UTAKAYOTARAJIA ATLEAST YOU TRIED
CHARACTER YA MTU HUWA JUDGED NA KUONEKANA PALE ANAPOANGUKA NA SIO AKIWA JUU LETS FACE IT MTU ALIYE JUU USUALLY GETS AWAY WITH ALOT OF THINGS,,
WATU WALIMSEMA ANA UCHU NA MADARAKA BUT HEY WHO!S LAUGHING NOW NA NG!OMBE WAKE HUKU HANA HABARI  NA MTU,,
UKIMPOINT MTU KIDOLE KIGEUZE NA UJIULIZE JE WEWE UNAJUA UNAELEKEA WAPI?
SOMETIMES KUKAA KIMYA NI KITU CHA BUSARA MNOOO MAANA MAJIBU HUPATIKANA MDA UNAVYOZIDI KWENDA,,
WALIOKUWA WAKIMCHEKA WHERE ARE THEY NOW?
JOHN POMBE BABA ENDELEA NA HAPA KAZI TUU NA LET!S HOPE UTATULETEA TANZANIA MPYA,I LOVE IS MY TANZANIA!!

No comments: