Ooh No! Hizoo ni pesa nyingiiiiiii mno jamaniiii! Ndo maana Tanzania imekuwa masikiniii wa kutupaaaa kufananisha na nchi za jirani Kama Kenya.... Sasa huyu Dada na Bashir wameaikomba hizo Trillion wakazipelekaaaa waapi??? Mali zao zoooote zingetaifishwaaa ingekuwa haki kabisaaaa na tena vizuriiii iuzwe pesa zikajenge hospitali na kununua Magari ya wagonjwaaaa! Shame on them! How do you steal so much many on a poor country like Tanzania where most people have no food to eat not even clean water to drink???? Shame
hivi bashir hana aibu????kwanini jamani???? mabilions,how?? watu wanalala chini hospitalini,mri azifanyi kazi kila siku alafu kuna washenzi kama hawa wanaiba 600 million,tena in dollars?????!!! magufuli funga wote baba
Jamani, kemea ufisadi ila pata content ya issue vizuri. Hawajaiba 1.3 trilion, ila waliliizidishia Serikali ile charge. Badala ya Serikali kulipa 1.4% wakaongeza another 1%, kwa hiyo Serikali ikalipa 2.4%. Guys....please.......!
Ina maana hiyo % iliyozid si wameichukua wao? Ndo tunachowalalamikia hicho we mdau unaesema hawajaiba. Kifupi ni kama wameiba tu maskini wanakufa wao wanaspend a lot of money bila huruma kama sio wizi ni nini?
6 comments:

Duuuuuuuuuuuu kazi kweli kweli Magufuli baba angamiza mafisadi wote jamani looo
hivi bashir hana aibu????kwanini jamani???? mabilions,how?? watu wanalala chini hospitalini,mri azifanyi kazi kila siku alafu kuna washenzi kama hawa wanaiba 600 million,tena in dollars?????!!! magufuli funga wote baba
Jamani, kemea ufisadi ila pata content ya issue vizuri. Hawajaiba 1.3 trilion, ila waliliizidishia Serikali ile charge. Badala ya Serikali kulipa 1.4% wakaongeza another 1%, kwa hiyo Serikali ikalipa 2.4%. Guys....please.......!
Ina maana hiyo % iliyozid si wameichukua wao? Ndo tunachowalalamikia hicho we mdau unaesema hawajaiba. Kifupi ni kama wameiba tu maskini wanakufa wao wanaspend a lot of money bila huruma kama sio wizi ni nini?
Hakuna kuiba kidogo. As long as uliweka uongo wewe mwizi tu. Hata kama ulichangia wazo tu. Wewe mwizi. Na ngozi imewakalia wao. Wezi tu
Post a Comment