Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, November 4, 2015

NITAKUWA NAPOST TIPS ZAKE KWASABABU YEYE NI MTAALAM,PAULO MATEMU!!!




NAMNA YA KUPATA MIMBA kirahisi. 

1. Nunua OVULATION PREDICTION KIT utaelekezwa namna ya kuitumia ili kujua ovulation day.
2. Kwa kutumia hiyo KIT utajua ovulation day yako. na pia utajua siku moja kabla ya ovulation day, (mfano kama ni tar 10 basi tar 9 hiyo kipimo itakujulisha pia )
3. Bila kutumia kinga, fanya tendo lenyewe siku moja kabla, siku yenye, kesho yake na kesho kutwa yake. hii inaongeza asilimia za kupata mimba.
4. Endapo mwanaume wako ana upungufu wa mbegu za kiume, basi fanyeni siku ya ovulation.
5. Kama ulikuwa unatumia dawa za majira, dawa za hormone au ulikuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia kabla ya mwezi unataka kuanza kutumia ovulation kit.... nakushauri usubiri upite mwezi mmoja na uone mzunguko wako upo ndio uanze kutumia hiyo kit mwezi unaofuata.
6. Unaweza kujua umepata mimba baada ya siku 14, kwa kutumia kipimo cha mimba kupitia katika mkoja ( kinauzwa famasi pia. ) japo kuanzia siku 8 kinaweza kukupa majibu pia.
WAKAKA wengi hudanganywa sana ( siku moja baada ya tendo msichana anasema ana mimba,....sio kweli na sio sahihi )
7. TAHADHARI msichana anaweza akawa na afya nzuri 100%, akapata mimba na mkapima mkaona ipo.
LAKINI Ikaharibika mapema tuu... sio kosa lake wala la mvulana...
mimba zingine huharibika mapema kwa sababu za kiiumbaji tuu.
la kufanya ni kujaribu tena
8. mimba ikitoka mara zaidi ya mbili muone daktari,,,

NIMEGUNDUA NIKISOMA DIFFERENT FORUMS WANAWAKE WANAKUWA WAKIPEANA TUU MAWAZO WITHOUT RESEARCH NA KINACHONISHANGAZA NI KWANINI YOU DON!T DO YOUR HOMEWORK,,
MBONA UMBEA MNAJUA KUUTAFUTA NA KUSOMA LAKINI VITU VYA AFYA MNAPUUZIA TENA VITU IMPORTANT ANYHOW NITAKUWA NAPOST THINGS HERE AND THERE ABOUT ISSUES ESPECIALLY ZA WANAWAKE,,LEGOOO!!!

PART2:Afya..... Malezi ya mimba... KUCHAGUA JINSIA YA MTOTO.
(soma post yangu ya jana kwanza uelewe kuhusu Ovulation)
1. Mwanaume ana mbegu aina mbili ( Y na X), mwanamke ana X tuu.
1. a. mvulana huzaliwa endapo mbegu Y ya mume itarutubisha yai.
1. b. Msichana huzaliwa endapo mbegu X ya mume itarutubisha yai. 
2 a.. Mbegu kutoka kwa mwanaume zikiingia kwa mwanamke zikikaa siku bila kukutana na yai la mwanamke hufa baada ya muda wa siku 1 hadi 4
2. b. yai la mwanamke hutoka na hukaa angalao masaa 24, na kama halikurutubishwa hufa.
3. Mbegu ya kutoka kwa mwanaume aina ya Y ni ndogo kwa umbo, hupenda mazingira ya kialkali, hukimbia/ huogelea haraka sana na hufa ndani ya masaa 24 hadi 36
4. Mbegu ya kutoka kwa mwanaume aina ya X ni kubwa kwa umbo, huogelea taratibu sana, hupenda mazingira ya asidi na huishi ndani ya mwanamke kwa masaa 48 mpaka 72 zikikosa yai la kurutubisha hufa.

KUPATA MVULANA
5. Mwanaume asifanye ngono tangu siku ya kwanza ya period ya msichana/mkewe hii inaongeza wingi wa mbegu za kiume.
5. b. ngono IFANYIKE siku ya ovulation. LENGO KUU kusaidia mbegu za kiume Y zinapotoka na kuwahi kukimbia zikute YAI LIMESHATOKA ( ovulation tayari )
5. c. Mke/msichana amsaidie mwenza wake wanapofanya ngono uume uingie ndani kwa kadiri ambavyo msichana anajisikia. ( hii inarahisisha mbegu za kiume kuwahi.
5. d. msichana na mvulana washirikiane ipasavyo ili mwandada afike kilele (apate orgasm) hii inarahisisha kuvuta mbegu kwa ndani, na hapo hapo mwanamke automatically anazalisha alkali ambayo ni rafiki na mbegu ya kiume.
KUPATA MSICHANA

6. Mwanaume asifanye ngono tangu siku ya kwanza ya period ya mkewe, ili kuongeza wingi wa shahawa.
6. b. ngono ifanyike siku siku tatu na mbili KABLA YA OVULATION, lengo ni ili yai la mwanamke likitoka likute mbegu za X kutoka kwa mwanaume zinalisubiri. (soma 4 juu)
7. Mume na mke wajue vizuri ovulation day, na namna mzunguko wa msichana unavyokuwa.
MWISHO NA MUHIMU ZAIDI, njia zilizotajwa hapo juu ni sahihi kwa asilimia 50%, usisahau umuhimu wa ibada kwa yule unaemuamini.
IT!S IMPORTANT THAT YOU ARE BOTH MENTALLY,PHYSICALLY AND FINACIAL PREPARED TO HAVE A BABY MAANA KULEA IS ONE OF THE HARDEST JOBS ON EARTH,,GOOD LUCK FOLKS!!

No comments: