Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, November 19, 2015

MEET YOUR NEW PRIME MINISTER,KASSIM MAJALIWA!!!


Historia fupi ya Mheshimiwa Kassim Majaliwa (PM). Kasim Majaliwa Alizaliwa Desemba 12 mwaka 1960 wilayani Ruangwa. Alisoma katika shule ya msingi Mnacho mwaka 1970 hadi 1976 mwaka 1977 alichaguliwa kusoma katika shule ya sekondari ya kigonsera hadi alipohitimu mwaka 1980. alijiunga na chuo cha ualimu Mtwara mwaka 1991 na kuhitimu mwaka 1993. mwaka 1994 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1998. mwaka 1999 alikwenda Stockhom na kujiunga na chuo kikuu cha Stockhom kwa kozi ya mwaka mmoja. Hiyo ndiyo historia fupi ya Kasimu Majaliwa.

No comments: