WEWE WAKATI UNACHEKA ULISAHAU KUWA KUNA SIKU NA WEWE UTACHEKWA BINADAM KUNA WAKATI MNAJISAHAU,,,ITS CALLED KARMA!!
1 comment:
Anonymous
said...
Kazi yake ilikuwa kutukana tu Twitter na facebook, alidhani wanasiasa wa upinzani sio wanasiasa, hakujua utofauti wa vyama, watu wa Ludewa wamemfunza adabu, kumbe ile tukana yote alikuwa anajitengenezea mazingira ya uhuru aonekane mpiganaji, sio kwa CCM hii, akacheze maigizo yake huko kwenye siasa hatumuhitaji sana, labda ukifika wakati wa mipasho ya siasa tutamuita tena. Ovyo sana huyu bwana, nilikuwa namuona wa maana ila kipindi cha uchaguzi watu wengi tumejua how much is mnafiki. Karma is a bitch

Post a Comment