Inabidi tufike sehemu viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa wawe na vigezo hasa na impact ktk jamii including elimu, background etc.na vitu kama vile ameifanyia nini nchi au wananchi so far na atawasaidia nini akiwa kiongozi....sio kila mtu akiamua tu kutaka kuingia bungeni basi aingie. ...Pleeeease. ..
Ni kweli yeye alishinda ila kutokana na yeye aligombea viti maalum inategemeana zaidi na ushindi wa chama chake. Kuna mdau juu kasema mbunge kwenye jimbo lake hakushinda hicho ndicho kilichosababisha. viti maalum hutegemea na chama chako kimeshinda kwa kiasi gani. Ndio maana unaona CCM wana wabunge viti maalum 64 na Chadema 36.
4 comments:
Hakukatwa, ni kwa sababu mbunge wa ccm kwenye jimbo lake hakushinda.
Mimi navyojua alishinda nikashangaa kutomuona kwenye list,,
Siasa ya TZ NI KAZI!!!

Post a Comment