Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 25, 2015

POLE MWAYA MAANA SIJUI NIONGEE NINI!!!


MKAZI wa Mtaa wa Nundu, Jimbo la Ilemela ameshindwa kupiga kura baada ya kukuta picha tofauti na yake kwenye daftari la Wapiga kura. Picha iliyokutwa kwenye daftari ni ya mwanamke.#UchaguziTanzania #UchaguziWetu2015


source;Mwnanchi

No comments: