Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, October 22, 2015

JUMA MWAPACHU HAD THIS TO SAY!!!


6 comments:

Anonymous said...

Juma Mwapachu yuko sahihi kwenye hili! (Maoni yangu binafsi)... Asante Sana.

Anonymous said...

tatizo kubwa Mwapachu unataka kulazimisha unayo ya taka wewe mabadiliko tunataka lakini sio kwa lowassa upinzan mjipange sana hamjapata rais mimi nilikua chadema lakini mlipo mkaribisha lowasa imani yangu ikaisha hamfai hata kidogo acha watu wafanye maamuzi yao moyoni wachague rais wanao mtaka sio unaeye mtaka wewe

Anonymous said...

Huna lolote Mzee Mwapachu usitulazimishe kuamini kile unachokiamini wewe. Ndo tushamkubali Magufuli tayari. Mama Maria asipomjua Magufuli nani Mwingine amjue? Sasa anamjua Lowassa kushinda unavyomjua wewe. Magufuli Mbele kwa Mbele ... Kweli kabisa Annon wa pili. Mabasiliko ya Tz hayawezi kuletwa na Lowassa hana jipya. Better kwa Magufuli atatenda nakujaribu we know him ni Mchapakazi Jembe la Ukweli kushinda Trekta! Upinzani Bongo mtasubiri sana sio kwa upinzni huu wa kumweka Lowassa better for Lipumba na Slaa..

Anonymous said...

Huyu Mzee anatafuta kick hlf kakuta watu hatuna habariiii. Ht kuhama kwake CCM hakuku make headlines. Pole zake maana ameruka mkojo kakanyaga ma.. Ht bila Mama Maria kumnadi MAGUFULI NDO RAIS WETU . CCM Mbele kwa Mbele#Hapana kazi tu

Anonymous said...

Viva Juma, viva lowassa, mnaopiga kelele hata magufuli hawajui... Mmeenda shule akili hamna!

Unknown said...

We anakujuwa?