Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, October 27, 2015

JANUARY MAKAMBA ASHINDA JIMBONI KWAKE BUMBULI,ANARUDI BUNGENI!!!


2 comments:

Anonymous said...

Kati ya wana CCM niliowapenda hapo nyuma ni Ndugu Makamba, lakini kufuatia kinyanganyiro cha uongozi wa mwaka huu, kauli zake nyingi zimeniacha na maswali mengi kuhusu uelewa wake wa siasa. Rudi uwanjani ndio democrasia imekupa huo mwaliko lakini naomba urudi kwenye siasa inayotambua democrasia na maneno maneno yasiyo leta tija kwako na kwa hao unaowawakilisha waachie wale ambao hata shule hawakuenda.
Nadhani ni vyema nitoe mfano mmoja tu wa kasoro ninayoizungumzia. Ulitamka kwa haraka sana kuwa Ndugu yetu na wenzake kwenye ile ajali ya helikopta walikuwa hai. Je huoni hapo umetanguliza sijui niite ujinga au vipi kwani mtu kama wewe unatakikana uelewa "due process" fulani inabidi ifanyike, ile ya kusubiri mpaka pale maelezo kamili yalivyotolewa. Labda ungesema tu unawaombea waadhirika unafuu kwenye janga hili lakini kauli yako ni kana kwamba ulikuwepo na una uhakika fulani. Hilo ni doa kubwa sana kwa mwana siasa chipukizi kama wewe lakini naomba tu ujifunze kwenye hili na mengine ambayo yametokea kwenye uchaguzi huu.

Anonymous said...

I hope ataishia tu kuwa mbunge