Genuine Nordic Vodka
Thursday, October 1, 2015
IGNORANCE AT IT!S PRIMETIME!!!
KUNA UDHALILISHAJI UNAOVUKA MPAKA NA HUU NDIO AN EXAMPLE,,
NA LABDA PIA IT IS HIGH TIME MJIFUNZE NA KUJIELIMISHA KUHUSU MTU YOYOTE YULE WHETHER A MAN OR A WOMAN KWANI SI WANAWAKE TUU WANAOHANGAIKA KUSHIKA UJAUZITO HATA WANAUME WANA TATIZO LA KU PRODUCE SPERMS,,
KUNA FACTS NYINGI ZINAZOMFANYA MWANAUME AU MWANAMKE KUWA NA TATIZO HILI SASA BADALA YA KUTUKANA AU KUPOINT A FINGER TIZAMA MBINGUNI HATA SEKUNDE MOJA HALAFU FIKIRIA KABLA HUJAANDIKA KUHUSU MAPUNGUFU YA BINAADAM MWENZAKO ESPECIALLY KUHUSU UGONJWA,,
NAJUA KUWA HUU NI WAKATI WA UCHAGUZI NA INAWEZEKANA KUWA KUNA BAADHI YA WATU HAWAJAPENDA WEMA ANAVYOMATTACK MGOMBEA WA UPINZANI NA NDIO MAANA WAKATENGENEZA HIVI LAKINI KUMBUKA KUWA TWO WRONGS DONT MAKE IT RIGHT,,
WATU WENGI MDA HUU WANAFANYA MENGI MITANDAONI WANAJISAHAU KUWA LABDA WAO WENYEWE WANAUGUZA MTU MDA HUU AU WANAJIUGUZA WENYEWE BASI NI VYEMA TUWE NA MIPAKA AND SOME OF US TUSHAIVUKA HIYO MIPAKA MPAKA TUNAFIKA HUKU,,
MNAAMBIWA HUJAFA HUJAUMBIKA,REMEMBER THAT!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
Daa hii sasa ni mbaya sana, binadamu unafikia kumdhalilisha binadam mwenzio hivi hivi, mungu ni wa watu jamani pole sana Wema kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi mungu.
This is beyond hateful. It is unnecessary to go this far to make whatever point they think they are making. All I can say is I pray for the offender and the offended to be restored by Most High God. For the mending of hearts and His perfect love to rule in Christ Jesus' Name, Amen!
Ni kweli Dear this not right at ol! dont forget about zile teams!!
Angekanywa pia alivyomtusi lowassa kuhusu ugonjwa wake, sio akiguswa yeye muone kaonewa sana. Dhambi ni dhambi, ila tusione akifanyiwa fulani ni kosa kubwa sana kwa wengine ni haki kabisa kanya mwanao kabla baya halijampata. Kama siasa yake ilivuka mipaka nae avumilie tu watu watakapovuka mipaka upande wake. ndio aina ya ubinadamu aliochagua.
It is true, HUJAFA HUJAUMBIKA kama wewe una mtoto basi yanaweza yakamtokea mtoto wako
Hichi kitu ndio niliongelea tena kwenye post ya Nuru uliyopita. Jamani watu acheni kukashifu watu na magonjwa yao. Kila mtu ni mgonjwa na kila mtu ana ugonjwa wake. Hata ukiwa na furaha kupitiliza ni ugongwa pia. Watu taufuteni jinsi nyingine au maneno mengine yenye point kwa ajili ya kampeni lakini sio maswala ya magonjwa/kutokuzaa. hata huyo aliyepewa mtoto/watoto kapewa na Mungu, na Mungu ana uwezo wa kumnyanganya wote kwa wakati mmoja na asimpe tena mwingine. Jamani tumuombe Mungu sana atupe mawazo mema yanayompendeza.
Post a Comment