YAANI 2015 BADO KAMA MWANAMITINDO UNAKUJA NA MAKE UP YAKO JUST BECAUSE WEWE UNA RANGI HII,,COME ON
MASKINI NILIKUWA SIJAJUA KAMA WANAPITIA HAYA YOTE KATIKA KAZI YAO NAJUA KUNA UBAGUZI ILA HILI NI JIPYA KWANGU NA KILA WAKATI MTU AKIKWAMBIA SORRY SINA RANGI YAKO NI KWAMBA KASHAKUSHUSHA KITHAMANI,,'
KIUKWELI INASKITISHA SANA KUONA THE FASHION INDUSTRY NA MA MAKE UP ARTIST WAO WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU KAMA KUTOKUWA NA FOUNDATION ZA KILA RANGI,,SHAME ON THEM!!
2 comments:
http://www.bongo5.com/photos-nigerias-highest-earning-blogger-linda-ikeji-acquires-multi-million-naira-mansion-read-her-inspiration-message-to-young-women-10-2015/ HI NURU, SOMA THAT LINK REGARDING LINDA WHO IS A FAMOUS BLOGGER IN NIGERIA, HER STORY IS AN INSPIRATION AND I THOUGHT U SHUD ALSO INCLUDE IT ON UR BLOG.
WITH LUV FROM TZ
Ntaisoma thanks
Post a Comment