Genuine Nordic Vodka
Tuesday, October 20, 2015
THE L MOVEMENT STOPPED BY MLIMANI TV TO HAVE A CHAT WITH FRANCO AND MY EXPERIENCE AS AN ARTIST AND A BLOGGER IN SWEDEN!!!
BEING INTERVIEWED BY FRANCO AND THE SHOW I TALKED ALOT ABOUT MY BLOG
MY EXPERIENCE AS A BLOGGER AND A SINGER,,
WHAT IT MEANS TO BE A BLOGGER WHO LIVES ABROAD
HOW I MAKE MONEY FROM IT,,
WHAT ADVISE I CAN GIVE TO A PERSON WHO WANTS TO BE A BLOGGER,,
WENT FOR MY 40!S LOOK WITH THE HAIR-DO AND I LOVED IT,,,
MLIMANI TV YOU WERE A PLEASURE JUST LIKE CARAMEL,,
UNAJUA UKISIMAMA NA KUPIGANA NA UKUTA KWA NGUMI HUWEZI SHINDA HATA SIKU MOJA NA WATU WATAKAOPITA NA KUKUKUTA UNAFANYA HIVYO WATAJUA TU EITHER HAMNAZO AU UNA STRESS KIBAO AMBAZO ZIMEKUZIDIA,,
KIUFUPI KUNA MSEMO MIMI HUWA NAUSEMA MARA KWA MARA HUMU KUWA MCHAWI WA MAISHA YAKO AT TIMES NI WEWE MWENYEWE SASA UKIMCHUKIA MTU ANAYEAMKA ASUBUHI KILA SIKU NA KUHANGAIKA ILI AWEZE JITEGEMEA YEYE NA FAMILIA YAKE THEN WEWE NI BONGE LA BOGASSZZ(in wemas voice)
NA UKIMCHUKIA MTU KWAVILE UNATAMANI KILE ALICHOKUWA NACHO WAKATI MWENZAKO ALIFIGHT KUFIKA HAPO HALAFU WEWE HUINUI HATA KOPE THEN WEWE UTABAKI TU KUWA BOGAZZ NA KURMANJI,,
USIIFANYE CHUKI YAKO IKAWA KIONGOZI WA MAISHA YAKO MAANA UKIJA SHTUKA YOU HAVE WASTED SO MUCH TIME HALAFU MAISHA YANAPITA KWANI HUWA HAYARUDI,,
HUJIULIZI KWANINI WEWE UKO PALEPALE WAKATI MWENZAKO ANAPIGA HATUA,,
KUNA WAKATI REALITY AMA NISEME UKWELI HUWA UNAUMA SANA LAKINI HAIMAANISHI YOU SUPPOSE TO SIT AND GIVE UP BADILISHA MWELEKEO NA ANZA MAISHA MAPYA KWANI WANGAPI WALIKOSEA NJIA NA LEO HII WAKO NA WAMESIMAMA IMARA,,TAFAKARI
LASTLY NI KWAMBA MUNGU HAMTUPI MJANE,,,BUT YOU HAVE TO DO THE WORK!
HAWEZI KUKUPA VYOTE KAMA NGUVU,AFYA,AKILI NA MWILI HALAFU BADO UKACHOOSE TO DO NOTHING AND THE BEST THING TO DO NI KULALAMIKA!!
KUNA WENGINE WANAHANGAIKA ILA HAYAWAENDEI SASA YATAKUENDEAJE WAKATI KUTWA KUCHWA UNAMUOMBEA MWENZAKO MABAYA HIVI HAMJUI HIYO NI LAANA TOSHA YA MAISHA KUKAA KUTWA KUCHWA KUMWOMBEA MWENZAKO MABAYA,,
KUMBUKA CHUKI HAIJENGI BALI HUBOMOA AT TIMES INAKUBOMOA WEWE MWENYEWE NA KWAVILE HATE MAKES YOU BLIND BASI HATA HILO HULIONI,,
WENGINE NDIO WALE KUTWA KUSHINDA KWA IMANI ZA GIZA,I WANDAZZ
KUNA VITU VIKO SO SIMPLE MAISHANI BASI TU BINAMU HUPENDA KU-COMPLICATE
RIDHIKA NA KILE MOLA KAKUJAALIA NA MDA NA WAKTI UKIFIKA ATAKUBARIKI ZAIDI NA ZAIDI HADI WEWE MWENYEWE UTASHANGAA,,
NA UKIONA MWENZAKO KAFANIKIWA ALL YOU HAVE TO IS ASK ALIFANYA NINI INSTEAD YA KU-ASSUME AU EVEN WORSE KU-HATE,NIMEMALIZA.COM!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Umependeza sana Nuru na your 40's style, maneno uliyoaandika ni kweli kabisa,"Ridhika na kile Mola kakujalia na mda na wakati ukifika atakubariki zaidi na zaidi hadi wewe mwenyewe utashangaa" Amen Nuru Be Blessed
Post a Comment