NDIO NINI KUTUTUKANIA AIRPORT YETU HIVI HAHAHAHAAHAHHAH,,
5 comments:
Anonymous
said...
To be honest airport yetu ni mbaya na ukichanganya na issue za umeme kukatika. Na jinsi utendaji ulivyo wa hovyo hapo airport ndio kabisa. Labda hiyo terminal mpya ikianza kazi. Halafu nashangaa. Kwanini mgao ufanyike hadi airport? Ndege zinatuaje na kupaa? Mwerh
KAONGEA UKWELI NA MAMBO YANAYOTOKEAGA HUMO JE HE JUST TOUCHED THE SURFACE,, AIRPORT GANI NDUGU HATA HAWAWEZI INGIA NA WEWE KUKUAGA WANASIMAMA NJE UTAFKIRI WEWE MKIMBIZI,, TUSUBIRI HIYO MPYA TUONE,,
Watanzania sijui mnataka nini. Airport mpya inaisha next yr june. Still kulalamika kuhusu airport ya zamani, si mnajengewa mpyaaaa. ila kweli ni mbayaaaa but tuwe na subra. Na ni airport nyingi watu hawawezi ingia ndani sababu ya growing security concerns jamani.
Sasa hapo kwenye kuomba visa ili uingie Tanzania utajuta. Till zimejaa watu, wengine wapo wawili wawili wanapiga story, wengine kwenye simu. Cha kushangaza badala ya till I authorise visa ( pay as you go) sababu unalipia hapo na wanatumia computer. Passport zote zinakysanywa kisha staff wao mmoja anaaanza kuira majina km watoto wa shule mmoja mmoja kwa sauti huku aki pronounce wrong majina ya watu. Yani nilitamani nikimbie kwa aibu.
Mara wengine wanagombana na wana wana raise sauti juu km wapo Kariakoo ili wasikike. Kuta (walls) nyeusi hawawezi hata kupaka rangi. Hakuna hata equipments za kusafishia, saa nne usiku unaona cleaners wanakuja bila uniforms na mifagio ya hovyo kusafisha.
Yani Allah ndio anajua akili za kibongo, tatizo la kupeana kazi kwa kujuana. Watu hawana exposure, vyeti vya kununua.
5 comments:
To be honest airport yetu ni mbaya na ukichanganya na issue za umeme kukatika. Na jinsi utendaji ulivyo wa hovyo hapo airport ndio kabisa. Labda hiyo terminal mpya ikianza kazi. Halafu nashangaa. Kwanini mgao ufanyike hadi airport? Ndege zinatuaje na kupaa? Mwerh
KAONGEA UKWELI NA MAMBO YANAYOTOKEAGA HUMO JE HE JUST TOUCHED THE SURFACE,,
AIRPORT GANI NDUGU HATA HAWAWEZI INGIA NA WEWE KUKUAGA WANASIMAMA NJE UTAFKIRI WEWE MKIMBIZI,,
TUSUBIRI HIYO MPYA TUONE,,
Watanzania sijui mnataka nini. Airport mpya inaisha next yr june. Still kulalamika kuhusu airport ya zamani, si mnajengewa mpyaaaa. ila kweli ni mbayaaaa but tuwe na subra. Na ni airport nyingi watu hawawezi ingia ndani sababu ya growing security concerns jamani.
Sasa hapo kwenye kuomba visa ili uingie Tanzania utajuta. Till zimejaa watu, wengine wapo wawili wawili wanapiga story, wengine kwenye simu. Cha kushangaza badala ya till I authorise visa ( pay as you go) sababu unalipia hapo na wanatumia computer. Passport zote zinakysanywa kisha staff wao mmoja anaaanza kuira majina km watoto wa shule mmoja mmoja kwa sauti huku aki pronounce wrong majina ya watu. Yani nilitamani nikimbie kwa aibu.
Mara wengine wanagombana na wana wana raise sauti juu km wapo Kariakoo ili wasikike.
Kuta (walls) nyeusi hawawezi hata kupaka rangi. Hakuna hata equipments za kusafishia, saa nne usiku unaona cleaners wanakuja bila uniforms na mifagio ya hovyo kusafisha.
Yani Allah ndio anajua akili za kibongo, tatizo la kupeana kazi kwa kujuana. Watu hawana exposure, vyeti vya kununua.
Mungu ibariki Tanzania
Kaongea ukweli lakini, hakuna uongo wowote hapo
Post a Comment