JE MWANAUME WA KITANZANIA ANGEKUBALI KUPIGA PICHA KAMA HIYO YA KWANZA NA PILI AKIWA YEYE NA MKEWE AMBAYE KAVAA BIKINI NA NI MJAMZITO NA KUZIPOST MITANDAONI???
HAIWEZEKANI KABISAAAAAA KWA MTANZANIA MWENYE UELEWA NA UPEO WA UPEMBUZI WA MAMBO. MFANO SI BUSARA UKIWA MJA MZITO KUVAA VIATU VYA MCHUCHUMIO............!!! WANAUME WA KITANZANIA TULIO MARIJALI HATUKUBALIANI NA HILO SIKWAMBII KUHUSU HIYO BIKINI JINSI ILIVYO BANAAAA.
Definitely wachache sana, labda Diamond na Zari, wanaume wa kitanzania, hata kama wanaenda outing, mume atamwambia mke atangulie kwanza watakuta huko,sembuse hii ya ��? Haha sorry brothers
Na kwanini wavae kama hivi na kuweka picha kama hizi hadharani? Hivi kila kitu kinachofanywa na watu wa ulaya ni lazima kiwe ndio bora??? Hizi picha ni za mume na mke wakiwa ndani ya chumba chao cha kulala-- they shouldnt be shared with anyone else let alone the whole world! Shame! Shame! Shame! Mwisho wa dunia umekaribia na mtaendelea kuona mambo haramu na kugeuza ndio mambo mema. Mungu atubariki na kutuepusha na yote.Ni hayo tu dada Nuru.
3 comments:
HAIWEZEKANI KABISAAAAAA KWA MTANZANIA MWENYE UELEWA NA UPEO WA UPEMBUZI WA MAMBO. MFANO SI BUSARA UKIWA MJA MZITO KUVAA VIATU VYA MCHUCHUMIO............!!!
WANAUME WA KITANZANIA TULIO MARIJALI HATUKUBALIANI NA HILO SIKWAMBII KUHUSU HIYO BIKINI JINSI ILIVYO BANAAAA.

Post a Comment