dada nuru mungu akupe hekima hiyo hiyo,wee dada nimekufuatilia sana humu,yaani ni mfano wa kuigwa ,wewe kweli kioo cha jamii ,anayekuchukia wewe duuu ,mungu amlaani ,pongezi pia kwa hisia zako kisiasa..kama kioo cha jamii ,unapost.ccm ,ukawa bila kuegemea upande wotewote.kura yako ni siri yako ,nakukubali sana kwa kujitambua.be blessed.
![Delete](https://www.blogger.com/img/blank.gif)