Msanii Shilole (Shishi Baby) atimkia Marekani kufanya show, huku BASATA ikiendelea kusema kuwa adhabu yake ya kufungiwa mwaka mmoja iko iko pale pale.
Na hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa wake wa Instagram,
" Shishi akeeee nipo ndani ya Houston Texas tayar kwa show jmosi ndani ya safari club nikiwa na kaka yangu @ommydimpoz kwenye stage hatari"
" Shishi akeeee nipo ndani ya Houston Texas tayar kwa show jmosi ndani ya safari club nikiwa na kaka yangu @ommydimpoz kwenye stage hatari"
Nini mtazamo wako juu ya hili BY EATV FACEBOOK PAGE,,
2 comments:
hakuna sababu ya kumfungia dada wa watu wamwache afanye shughuli zake wanavyojifanya wanamfungia kwani hawajui kuwa ana majukum na anaendesha maisha yake kupitia hiyo kazi yake, wanataka afanye shughuli gani nyingine au afe njaa. Hao Basata badala ya kufatilia mambo muhim wanamganda tu dada wa watu.
Kafanya show uko Tanzania kwenye Campaign ya Magufuli kwa kuwa kafanya show ya CCM Basata wameuchuna,
Ingekuwa ukawa ata Airport bongo asingepita..
Tanzania hakuna haki wala sheria....
AM..
Post a Comment