Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 29, 2015

IMEJIPOST!!!


HIKI NI KITU NILISEMA SITOKUJA KUKIONGELEA KWENYE BLOG YANGU KAMWE ILA BAADA YA KUONA HII TWEET YA MOHAMED DEWJI NIMESHTUKA MNOO,,

UCHAWI IS A VERY SENSITIVE ISSUE KWASABABU KINA STIGMA MEANING AIBU KWENYE JAMII NA NI KITU BADO KUKIONGELEA HADHARANI HAKILETI MOTISHA NZURI BUT BAADA YA KUONA HII RESEARCH NIKASEMA NOW I CAN TALK ABOUT THIS,,
HIVI KWELI MMEFIKIA KUITWA TAIFA LA KUAMINI HIZI IMANI ZA AJABU,,
HIVI KWELI MUNGU WETU KASAHAULIWA NA KUTOAMINIKA TENA,,
HIVI KWELI MTAENDELEAJE KAMA TAIFA KAMA MNAAMINI NGUVU ZA GIZA,,
HIVI KWELI HATA NYIE WASOMI MNAOHUBIRI WATU WATAFUTE ELIMU HALAFU NYIE NDIO MABINGWA WA KUTUMIA HIZI METHODS WA ALIYEISHIA LASABA AFANYE NINI,,
HIVI KWELI KAMA HAMUAMINI UWEZO WENU NA JUHUDI ZENU KUNA NINI TENA,,
KAMA UMEANDIKIWA UMEANDIKIWA,,
NA KAMA HUJAANDIKIWA IT WAS NEVER REALLY YOURS TO BEGIN WITH,,
MCHAWI HUBAHATISHA ILA MUNGU HABAHATISHI HATA SIKU MOJA NA MUDA MWENGINE MCHAWI MKUBWA WA MAISHA YAKO NI WEWE MWENYEWE,COM!!



1 comment:

Anonymous said...

Well said my dear, alot of people in Tanzania believe in witchcraft
very weird majority of them are gals,
wanalala kwa waganga wapate waume za watu wawachune sijui wengine wafanikiwe kwenye biashara zao, mhhhh aibu mpaka naogopa hii nchi bora tumrudie Mungu watu wanaisahau kuwa kuna LIFE AFTER DEATH