Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 29, 2015

FACTS!!!


WASICHANA 5000 WANAACHA SHULE KWASABABU YA UJAUZITO,,SASA SIJAJUA NI KWA MWAKA AU,,
MSICHANA 1 KATI YA 3 ANAOLEWA KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 18,,

KWA MAANA HIYO WASICHANA 5000 WANAKOSA ELIMU,WANAKUWA WAZAZI BECAUSE HAPA HATUJATAJIWA MAZINGIRA KAMA JE WAZAZI WENZA WAPO,JE FAMILIA ZAO WANAJIWEZA ILIKWAMBA WATARUDI SHULE TENA BAADAE AU WAMEOLEWA WAKIWA WADOGO NA KUPEWA UJAUZITO,,
NINA MASWALI MENGI NA MAJIBU SINA,,

1 OUT OF 3 ANAOLEWA KABLA YA KUTIMIZA MIAKA 18 KWA MAANA TUNA JANGA LA NDOA ZA UTOTONI DEAR GOD KUNA WAKATI TUNADHANI TUMEENDELEA ILA BADO SANA TENA MNOOO NA VICTIMS NI WASICHANA HUKU MMEKAZANA MITANDAONI KAOLEWA WAKATI KUNA VITOTO VINAOLEWA KABLA UMRI HAUJAWARUHUSU KUWA MKE LET ALONE KUWA MAMA MWENYE NYUMBA,,

THE SEXUAL ASSAULT PART WALA SITAKI KUINGIA NADHAN NTAONGEA MANENO MAKALI KIASI NICHUKIWE NA WANAUME AU JAMII SO AM GONNA LEAVE IT TO THAT ILA NATAKA MSOME,MTAFAKARI,MUELIMISHE NA WENGINE KUHUSU HIZI FACTS ZINAZOKUBUHU NCHI YETU,,
KUNA WAKATI MNA WASTE SO MUCH TIME INSTANGRAM INSTEAD YA KUSAIDIA JAMII,,
KUNA WAKATI MNA FOCUS NA VITU HAVINA HATA MAANA WAKATI KUNA MSICHANA MBELE YAKO UNGEWEZA MUWEZESHA NA AKAWA NOT A STATISTIC,,

THANK YOU REBECA GYUMI KWA KUNIELEIMISHA,,


No comments: