Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 29, 2015

EDNA ELIAS YOU NAILED IT,WATU WANAJISAHAU!!!””Una miaka 25 unatuambia toka tumepata uhuru ni miaka 50 chama kilichopo hakijafanya kitu. Umeanza kujitambua ukiwa na miaka 15 inamaana miaka 35 nyuma una uhakika gani Tz ilikua hivi hivi? We ungesema tu kitoke madarakani maana bado maji ni tatizo elimu ni tatizo na barabara ziko kwenye kiwango cha chini kulingana na muda waliokua madarakani. Hivyo labda. Sio vizuri kufata mkumbo.
We na wewe unasema yule ni mgonjwa unasahau baba ako amepata strock mara 2, hawezi kutembea hawezi kuongea. Mama ako ana kisukari na presha, dada ako ana HIV aliipata kwa mume wa mtu. Kaka ako maini yameungua kwasababu ya kunywa viroba. Unasahau Kwenu ndo mna wodi. Usipende kufata mkumbo.””””
Asante.
HAKI © Dina™

No comments: