Hey watanzania huyu ni ndugu yetu Mr nice anaumwa sana yupo kahama mkoani shinyanga katika hospitali ya frolida hebu tumuombeeni mungu amnusuru na apone mapema na hata ukiweza kumtembelea itakua vizuri sana asanteni kwa maombi yenu,,
NAJUA HII PICHA INAWEZEKANA IKASOMWA KIVINGINE BUT ITS THE ONLY ONE I HAVE,,
TUKO NAWE KIMAOMBI NA MUNGU AKUPE NGUVU NA UPONE BECAUSE WATU BADO WANAKUPENDA NA KUKUHITAJI,,
3 comments:
Maskini pole...Mungu akupe nguvu. ....
Mungu akupe nafuu unayo hitaji. Amen.
Waliokuwa wanakutumia majukwaani 2005 sasa ivi hawakuangalii tena, ila sisi wananchi tutakusaidia kadri uwezavyo, wewe ni ndugu yetu, tunajua ulipanda jukwaani upate chochote but, nawashauri wasanii wa sasa wakuangalie kama kaka yao, wajifunze na kuwajua wanasiasa vyema. Pole sana bro
Post a Comment