Niliwahi kushauriwa unapotukanwa kutokana na kitu usichokitenda ni thawabu na unahitaji kuwa na subra. Siyo subira bali SUBRA. Kwani Ukweli husimama kama ilivyo.
NInachoweka hapa ni link ya habari iliyotoka kuhusu utafiti wa Twaweza. Mwisho kabisa mwandishi alininukuu kama wanaharakati wengine, pia aliweka jina langu na kampuni yangu. Link hii na story hii inapatikana kirahisi hata Facebook na Google.
Nashangaa ndani ya masaa 12 ninakashifiwa na kusingiziwa mengi. Ila nilichogundua ni kikundi maalum cha watu na wameshaanza kutambulika. Siongezi neno ila kuanzia sasa mtu hawezi kusema hajui msimamo wangu au nilichokisema, au kuwa nafanya kazi Twaweza. Anayetaka kuendeleza matusi na kashfa katumwa na nitamtambua kama mhusika mmojawapo wa njama hizi kutaka kuninyamazisha na uzushi kuwa eti nimenunuliwa. Sitanyamazana nitatetea uhuru wangu wa kujieleza bila fitna! Mbarikiwe na muwe na siku njema

There has been a deliberate smear campaign against me to distort facts of what I said about the polls during the launch of the Twaweza poll. I have attached a link to an article in Kiswahili and also taken a snapshot of what the journalist quoted as part of my comments together with my name and company was quoted. The smear campaign was not a coincidence but a deliberate attempt to shut up people of independent thinking and to make us look like we have been “bought” by CCM. Such intimidation will not work because the claims are utterly false and outrageous, and I stand up for my freedom of expression – just like I did with other causes including my protest against Cyber Crime Law which today is in place and would put in jail all involved in this smear campaign for 10 years minimum. In fact just sharing the malicious post could land you in jail. I still do not support such drastic measures but I expect common sense and civility!
Maria jiulize kwann mkurugenzi wa ipsos aligoma kwenda kwenye vyombo vya habari aliona mapungufu yenu. .mmekosea sana kuchanganya proffesional na siasa hii ni sumu mbaya sana.
UTAJITETEA SANA LAKINI HUTOFANIKIWA KUWARUDUDISHA NYUMA WA-TZ WAKUAMINI TENA KAMA MWANZO! THAMANI YAKO IMESHUKA MBELE YA JAMII...., NA NDO MAANA ZILE COMMENT ZINAZOKUELEZA UKWELI NA KUKUKOSOA UNAZIFUTA FASTA BILA KUCHELEWA! DADAYANGU #Maria ...., TANZANIA YA LEO SIO YA MWALIMU NYERERE YA WATU WASIOJUA KUSOMA NA WASIO NA MIUNDOMBINU MIZURI YA MAWASILIANO...., WATU WANAUFAHAMU WA KUTOSHA SANA DADA KULIKO UFAHAMU ULIYONAO...., HAKUNA WA KUKUFUNGA MDOMO BALI UTSJIFUNGA MWENYEWE! WATU WANATAKA MABADILIKO NA SI BLAH BLAH....! TUMIA UMAARUFU WAKO VIZURI USIWE UNAUMA NA KUOPULIZA KAMA PANYA!
Akuna mpiganaji au mwanaharakati asikumbana na vikwazo au mitihani huu ni moja wa mtiani da maria siku zote kwenye ukwer uwongo hujitenga so haya yatapita kaza mwendo usiangalie nyuma binadam wameumbwa hivyo kuongea bila kuelewa safari bado songa mbel da maria nakukubali sanaaaa
No comments:
Post a Comment