Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, August 30, 2015

WEMA SEPETU AND STEVE NYERERE!S LAUNCH OF MAMA ONGEA NA MWANAO!!!

 WEMA SEPETU,,
 Wema akimkabidhi Dk. Jakaya Kikwete zawadi... pembeni ni Zamaradi Mketema

  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wageni ndani ya ukumbi wa Hyatt Regency Dar es Salaam.

 Mama ongea na Mwanao wakimkabidhi Bi Asha Rose Migiro zawadi waliyo muandalia ya Kitenge.

 Mama Ongea na mwanao ni kampeni ambayo imeanzishwa na baadhi ya wasanii wakiongozwa na Steve Nyerere na Wema Sepetu kwa lengo moja tu la kuwaamasisha wazazi kuongea na watoto wao na kuwapa Elimu juu ya mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi pamoja kuwahamasisha kuipigia kura CCM chama ambacho wanaamini kinao uwezo wakuwaletea maendelea wayatakayo...

Hafla hiyo ilifanyika Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es salaam na mgeni rasmi alikuwa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

SOURCE:WWW.ENDLESSFAME.COM

No comments: