NILIFARIJIKA SANA KUWEZA KUFANYA KITU AMABACHO HAKIJAWAHI KUFANYIKA IN TANZANIA,,
NILIPATA NAFASI YA KUTUMBUIZA EXCLUSIVELY KWA HABARI HOUSE MEDIA HOUSE AMBAYO IKO SINZA KIJIWENI NA NAWEZA KUSEMA HII MEDIA HOUSE ILINIPOKEA KWA MIKONO MIWILI BAADA YA UKIMYA WANGU KIMZIKI TAKRIBAN MIAKA MIWILI,,
NILITUMBUIZA NYIMBO ZA ZAMANI NA MPYA AMBAYO INAITWA L,,
NILIFURAHI KUWA MFANO KWA WASANII WENZANGU NA KUWAONYESHA VITU TOFAUTI AMBAVYO UNAWEZA KUFANYA NA KUWA TOFAUTI,,
AHSANTE KWA WASAIDIZI WANGU SIDI MGUMIA,FESTO POLEA NA MARKUS MPANGALA
No comments:
Post a Comment