HII NDIO SIASA NA NI MCHEZO MCHAFU KIAINA, ,
WANAWAKE WALIWEKWA NA KUTUMIWA KU NUTRALIZE THE SITUATION ILA TANZANIA WAS NEVER READY FOR A FEMALE PRESIDENT INASIKITISHA ILA HIYO NDIO HALI HALISI KUWA TANZANIA HAIKO TAYARI,,
UKAWA WAMETOA CANDIDATE WAO NA MAGUFULI KAMCHAGUA SAMIA SULU HASSAN KAMA THE VICE PRESIDENT WAKE MEANING HAKUWATAKA WALE WALIEKUWEMO KWENYE TOP 5 YAKE,,GREAT MOVE SINCE HE WANTS WATU ANAOWAAMINI YEYE KAMA YEYE,,
JAMANI BADO OCTOBER NI MBALI AND ANYTHING CAN HAPPEN,,Tuache Movie Iendeleeeee!
1 comment:
unasahau kitu Nuru. Hawa wanawake wawili walichukua form za nafasi ya raisi na sio makamu. hawakupita ktk mchakatuo huo sidhani kama ni automatic wachukue post ya umakamu. lengo halikuwa hilo
Post a Comment