Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 29, 2015

THE SO CALLED WAWEKEZAJI!!!!

 Just in: wachina hawa wamekamatwa wakiwa wanajaza maji ya bomba kwenye chupa then wanaziuza kama maji ya chupa original toka kiwandani...
NB. The so called WAWEKEZAJI ahsante Frank Joseph kwa hii habari,,

SOMETIMES NCHI ZETU HUWA ZINAKUWA SANA NA IMANI NA HII NGOZI KUWA NI WAKWELI LAKINI WAPI,,
JAMBAZI NI JAMBAZI TUU HATA AVAE SUTI,,
NA UTAKUTA KUNA WATU HAENDI KUNUNUA KWA MTANZANIA MWENZAKE NA KUSEMA HAWAKAWII KUTUUZIA MAJI YA BOMBA NA KWENDA KWA HAWA,,
EXPOSURE AT TIMES NI KITU MUHIMU SANA,,
I HOPE WATACHUKULIWA SHERIA BUT TO ME THEY SHOULD BE DEPORTED SIMPLE AS THAT MAANA KWAO WASINGEWAPA HATA SEKUNDE YA IMANI KWA KUDHURU WANANCHI WAO,,MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!

No comments: