HILI GAUNI NILISHONEWA NA MSHONO NILIUBUNI MWENYEWE NA WAKATI NAENDA KUICHUKUA KULIKUWA NA WAMAMA WAWILI WALIUPENDA MSHONO WALINICHEKESHA MNO HAHAHA ETI NASISI TUNAVAA KAMA MSANII MAANA HIVI VIMINI VYENU VINATUKWAZA WENGINE NA WAUME ZETU WA 1980 HAHAHAH ILA HII TUNAWEZA KUVAA,,LOL!!
WORD OF THE DAY BY KASSIM MGANGA FEAT CHRISTIAN BELLA;SUBIRA
USIJE ITAKA HARUSI KWA PUPA
USIJE ITAKA HARUSI UKARUDI NA TALAKA
USIKIMBILIE MUME UKAUKONDESHA MOYO
No comments:
Post a Comment