Waislamu hatuwezi kamwe kukubaliana na kitendo hiki. Ikiwa ni kweli, basi laana ya Allah imfikie aliemfananisha kipenzi cha Allah na mtu huyu...
Eti ukamfananishe Fisadi na mjilimbikizia mali na Mtume Muhammad SAW? Si wazimu huu. Kama alitegemea kufanya hivyo ndio atapata kura za waislamu basi ajue ameliwa hapati ng'oo.
Post a Comment
2 comments: