Genuine Nordic Vodka
Thursday, July 16, 2015
KAMA NI MZAZI ISOME NA KAMA BADO HUJABAHATIKA ISOME ANYWAY KUNA SOMO MUHIMU SANA!!!
NILIVYOKUWA NASOMA UNIVERSITY NILIKUWA NA MWANAFUNZI MWENZANGU MMOJA AMBAE ALKUWA NA HIV NA ALITUFUNZA MENGI SANA ABOUT THE DESEASE SINCE BADO KUNA UWOGA NA STIGMA KUHUSU HUU UGONJWA BADO WATU HUOGOPA KUSEMA KUWA WAMEATHIRIKA ESPECIALLY AFRIKA,,
TATIZO NI PALE MTU ANAJUA AMEATHIRIKA NA KUENDELEA KUAMBUKIZA WENZAKE SASA SIJUI NI HUWA WANATAKA KULIPIZIA AMA NI NINI?
HUYU NI MSICHANA WA MIAKA 15 AMBAE NI MWANAFUNZI NA AMEONGELEA VERY CANDIDLY KUHUS SITUATION YAKE KUWA ANATEMBEA NA MTU KAMZIDI UMRI NA KUWA HUYU HUYU MWANAUME ANA WANAWAKE WENGINE PIA NA KUWA AMEATHIRIKA,,
CHA KUSHANGAZA HUYU MWANAUME ALIKUWA ANAJUA KUWA NI MGONJWA WHY THEN SLEEP WITH A 15 YEAR OLD GIRL,,
MSICHANA NAE AMEATHIRIKA WAKATI NI MDOGO SANA,,
ULAYA WANA SYSTEM NZURI YA KUWA MONITOR WATU AMBAO WAMEATHIRIKA NA PIA SHERIA HUCHUKUA MKONDO PALE ITAKAPOONEKANA KUWA MUATHIRIKA KALALA NA WATU BILA KUWAAMBIA KUWA AMEATHIRIKA AND THAT IS OUR BIGGEST PROBLEM AND WEAKNESS,,
TUMESHAKUWA NCHI AMBAYO SHERIA HAICHUKUI NAFASI PALE INAPOTAKIWA,,
SASA HIVI AIDS IMEKUWA SANA TANZANIA TENA ZAIDI YA UGANDA SIMPLY BECAUSE WENZETU WALIONA LILE JANGA NA KUANZA KUMONITOR ILE SITUATION LAASIVYO WHO KNOWS,,
NINA COUSIN YANGU AMBAYE KACHUKUA PHD NI DAKTARI ALIFANYIA PHD YAKE HUKU SWEDEN SO NILIKUWA NAFUATILIA SANA MASOMO YAKE NA THE STUDY AND HE WROTE A THESIS ABOUT THIS MAANA WALIKUWA WANATEST THE VACCINE AMBAYO ITAWASAIDIA WAATHIRIKA NA ALIKUWA AKITEST WANANCHI WA TANZANIA NA NAKUMBUKA ALIVYONIAMBIA KUWA THE BIGGEST GROUP AMBAYO INAKUWA EFFECTED NI POLISI IMAGINE POLISI NDIO KUNDI KUBWA AMBALO LINA RISK KUWA INFECTED WITH HIV AND I ASKED MYSELF WHY,,
KUNDI LA PILI WALOKUWA WAKILIMONITOR NI WAMAMA WAJAWAZITO AND THERE THE SITUATION WAS LEAST TO SAY VERY BAD ASWELL,,
CHA MSINGI WALIKUWA WANAMONITOR WATOTO ILI WASIWE INFECTED ESPECIALLY IF THE MOTHER IS ALREADY,,
HILI JANGA JUST BECAUSE HATULIONGELEI DOESN!T MEAN IT GOES AWAY,,
AIDS IPO NA BADO INAUWA SANA,,
NA NYIE WATU WAZIMA MNAOAMBUKIZA WATOTO YOU SHOULD BE ASHAMED OF YOURSELVES NA MUNGU ATAWALIPA KWA KOSA HILO,,
KWANINI USIMWAMBIE MTU UKWELI KAMA UNAMVULIA NGUO?
AIDS IPO SO ONGEENI NA WATOTO WENU MA TEENAGER KWASABABU DUNIA YA LEO WAKO SEXUALLY ACTIVE AT A VERY YOUNG AGE,,
WAFUNDISHENI HATA KAMA WATAFANYA BASI WAJIKINGE,,
HAKUNA MZAZI ANAYEPENDA MWANAE AANZE KULALA NA WANAUME AKIWA MSICHANA MDOGO LAKINI REALITY YA LEO HIYO NDIO SITUATION ILIYOPO SO KIKUBWA NI KUWAELIMISHA ILI WAJILINDE MAANA HAMPO NAO KILA SAA,,
KILA SIKU HUWA NAWAAMBIA WAZAZI KUWA MTOTO WAKO AKITOKA MLANGONI TUU BASI KAA UKIJUA KUWA ANA INFLUENCE NYINGI SANA AMBAZO ZINAWEZA KUMKUZA AU KUMPOTOSHA NA KAMA MZAZI UNAWEZA FANYA VYOTEEE KWA MTOTO WAKO NA BADO AKAPOTEA SO CHA MSINGI NI KUJUA KUWA UMEFANYA VYOTEE ILI MWANAO ASICHAGUE HIYO NJIA,,
MWISHO WA SIKU LETS START BEING OPEN ABOUT THIS DESEASE CALLED AIDS!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Machozi yamenirenga kwakweli. Yani kuna watu wana roho mbaya
Huyu babu ni wakukamatwa na kufunguwa muwaji asiye na huruma...wanateseka kina Babu seya na papii segelea
Wauji wanaendelea kumaliza Taifa la kesho uku uraiani... Hatari inasikitisha sana, Duu
AM
INATISHA ILA AFRIKA NZIMA TUNAISHI ILE MIAKA 150 WENZETU WALISHAPITIA.
TUONGEE NA WATOTI ILA MKUMBUKE UMASIKINI NAO UNACHANHIA MTOTO HANA HELA AKIKUTANA NA ANAYEMUHONGA ATAKUMBUKA WAPI KUSEMA VAA CONDOM
. KWA NCHI ZA NJE CANCER ,IMS NAMENGINE NDO UGONJWA WA KUTISH A SIO UKIMWI . NA UKUMBUKE ULAYA NANI ANATOME YA KUMTONGOZA MWENZAKE HOVYO HOVYO KAA HUKO KWETU! UKITAKA BWANA UTOKE OUTING UKAVIZIE AU CONNECTION
MILA ZETU NA KAKA NA DADA ZETU BILA KUWA NA WENGI HUJIONI RIJALI .
WE ANGALIA MAGONJWA MADOGO KISUKARI .MALERIA, GoNO BADO TATIZO KUBWA AFRIKA
UONGOZI UKIWA MZURI MARADHI YATAPINGUA
TUWASISITIZEVWATOYO KWA KUWA NDO JUKUMU ILA NI SHIDA SANA , NYUMBANI UNAKUWA NA BWANA KWA SABABU UPATE MAHITAJI NA. WAKUKUTUNZA
ULAYA UNAKUWA NA BWANA KWA STAREHE NA UWE NA MWENZIO UMRI UMEFIKA
Post a Comment