EDWARD NGOYAI LOWASSA AKIENDA KUCHUKUA FOMU LEO HII!!!
Waziri Mkuu Mstaafu, Ndg. Edward Ngoyai Lowasa, akiwa anaelekea makao makuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia chama icho.,,
4 comments:
Anonymous
said...
SOMEONE PLEEEEEASE STOP THIS MAN BEFORE HE CAN CREATE "HUGE CHAOS" HUYU JAMAA ATAWAMALIZA WATZ. HE JUST LIKE THE IDEA OF HAVING THE TITLE OF "MR PRESIDENT" BUT HIS INTENTION IS NOT TO HELP ANYBODY. WILL YOU PLEEEEEEASE STOP THIS MESS!
Kwa mtu yoyote mwenye upeo wa kufikiri atagundua kuwa Lowasa is only being greedy na title. Aim yake ni kuingia madarakani kulipa kisasi na sio kuongoza taifa.
asiyekubali kushindwa si mshindani. Kashindwa CCM hajakubali sasa yuko CHADEMA. Na je akishindwa CHADEMA? Ataingia msituni na kuunda vikundi vya Kiasi cz yeye anaamini HE MUST TAKE OVER. RIGHT?
Watanzania wanamchekea lakini anatishia upotevu wa amani kwa 100%.
I am not into politics ila LOWASA angeheshimu amani tuliyo nayo. Ni bora taifa maskini lakini liwe na amani. LOWASA SI MTU MWEMA
Yaani Mimi amenimotivate nikajiandikishe ili nipige kura,na kura yangu iende kwa magufuli.maana wakati amejiuzulu uwaziri mkuu sijui kufukuzwa yaani alisusia binge utafikiri haliwepo bungeni haongei hatetei hoja,kama anatupenda watanzania angefanya kazi no matter wat sio kususa saivi ndo anatupenda watanzania huyu anapenda uraisi basi na anataka ubabe ILA naomba Mungu akose jamani,au ahairishe maana ubabe wake angetumia kupeleka wamasai shule kuwapa maji safi kuondoa waxungu wanaofukuza wana vijiji kujemga maresort huko kwao hayo yote hafanyi kwa watu WA huko na amekuwa madarakani miaka wao wanachagua Tu kiss WA kwao,alafu sisi wana mtwara,singida,Dar es salaam,kigoma,bukoba,mwanza atatusaidia nini jamani.
Mbona ham kusema haya kwa JK kiongozi pekee tuliyewahi kumpata wa visasi, usanii, udini na majungu. Ni awamu hii inayoisha that madawa yakulevya na udini umeshika kasi. Wabongo bwana tunashangaza sana Kwakweli.

Honestly he scares me.

Post a Comment