Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, June 13, 2015

THE TRUTH.COM!!!


1964 MZUNGU ANAMWAGA TINDIKALI ILI WEUSI WASI-SWIM KWENYE SWIMMING POOL SASA FAST FORWARD 2015 KUNA WATOTO TEENAGERS WALIKUWA WAMEFANYA KAMA A COOK-OUT NA BAADAE WAKAANZA KUOGELEA SINCE HII SEHEMU NI GATED COMMUNITY KUNA WATU WAKAPIGA SIMU NA KUSEMA KUWA KUNA FUJO NA POLISI WALIPOFIKA ESPECIALLY OFFICER MMOJA ALIMU-ABUSE SANA HUYO MTOTO WA KIKE AMBAYE KAMKALIA HAPO KWENYE PICHA,,

THE GIRL IS ONLY 14YEARS OLD KUNA MTOTO WA KIZUNGU NDIO ALIFILM THE WHOLE INCIDENT NA KUISAMBAZA WHICH IMEKUWA A VERY BIG ISSUE IN AMERICA,,
LIKE I SAID RACISM STILL EXISTS IT!S JUST DONE DIFFERENTLY NOWADAYS,,

No comments: