Maybe ungepunguza kiherehere cha kukoment na umskilize EMELDA on the interview hahahhahahahah kwa kuwatungia watu mambo nawapeni masters,,,enjoy the interview
Bana wee listen to the video ndo utaelewa title ya The Light,mbwiga kweli ndio wale mnasoma title ya gazeti without knowing the content mnajizulia story zenuu khaa
NIMEKUPENDAJE NURU TATIZO LA BAADHI YA WATANZANIA KIHEREHERE CHA MDOMO AKILI HAWANA . HASIKILIZI POINT YA MTU ANA MUHIKUMU MTU . EMELDA SIMJUI SABABU SIISHI TZ ILA NIMEMPENDA KAA MWANANGU NAE JUA UCHINGU KAONGEA POINT ZA MAANA NA KWA MACHO NI MSTAARABU. KTK MAISHA WATU WANAKOSANA WANAPOGANA WANATUKANANA !SIONI AJABU YY KUTOKEA KASORO NA KUPELEKAMA MAHAKAMANI KILA KITU KINAMWISHO
WATANZANIA TUACHE KUMHUKUMU MTU TUSOJUA UNDANI UKIINGIA BLOG YA SINTAH UNAKUTA ANONY WAMEMTUKANA MTU HAWABAKISHO HATA FAMILIA UKIJIILIZA JE WANAUHUSIANO NAE ????HAWANA BASI AMEVUMA TUU NDO KUCHUKUA NAFASI HII AMA KWELI ADUI WA MWANAMKE ATABAKI KUWA MWANAMKE TUUUNA NDO KINACHOWAFANYA WACHELEWE KUPATA MAENDELEO YA MAISHA. WANATUMIA MUDA MWINGI KUJIA KAFANYAJE LEO WAKATI WENZAKE ANAENDA MBELE WAO WANABAKI NYUMA KUMFATILIA KWANI KUSIMAMA MBELE YAKE HAWAWEZI LUM FACE . NA MTABAKI NYUMA MPK MWISHO WA DUNIA
6 comments:
ooookkkkkk is there bad blood btwn u n klynn???hueleweki kiana na.posts zako za back door
Maybe ungepunguza kiherehere cha kukoment na umskilize EMELDA on the interview hahahhahahahah kwa kuwatungia watu mambo nawapeni masters,,,enjoy the interview
kiherehere gani? my comment?? i though this was supposed to be matter of free expression? xoxo
Bana wee listen to the video ndo utaelewa title ya The Light,mbwiga kweli ndio wale mnasoma title ya gazeti without knowing the content mnajizulia story zenuu khaa
NIMEKUPENDAJE NURU TATIZO LA BAADHI YA WATANZANIA KIHEREHERE CHA MDOMO AKILI HAWANA .
HASIKILIZI POINT YA MTU ANA MUHIKUMU MTU .
EMELDA SIMJUI SABABU SIISHI TZ ILA NIMEMPENDA KAA MWANANGU NAE JUA UCHINGU KAONGEA POINT ZA MAANA NA KWA MACHO NI MSTAARABU.
KTK MAISHA WATU WANAKOSANA WANAPOGANA WANATUKANANA !SIONI AJABU YY KUTOKEA KASORO NA KUPELEKAMA MAHAKAMANI KILA KITU KINAMWISHO
WATANZANIA TUACHE KUMHUKUMU MTU TUSOJUA UNDANI UKIINGIA BLOG YA SINTAH UNAKUTA ANONY WAMEMTUKANA MTU HAWABAKISHO HATA FAMILIA UKIJIILIZA JE WANAUHUSIANO NAE ????HAWANA BASI AMEVUMA TUU NDO KUCHUKUA NAFASI HII AMA KWELI ADUI WA MWANAMKE ATABAKI KUWA MWANAMKE TUUUNA NDO KINACHOWAFANYA WACHELEWE KUPATA MAENDELEO YA MAISHA. WANATUMIA MUDA MWINGI KUJIA KAFANYAJE LEO WAKATI WENZAKE ANAENDA MBELE WAO WANABAKI NYUMA KUMFATILIA KWANI KUSIMAMA MBELE YAKE HAWAWEZI LUM FACE . NA MTABAKI NYUMA MPK MWISHO WA DUNIA
Achana nae kaning'inia KAA kamasi hajui kusikia ndo hao WENYE BLOGS ZA kuwachamba WATU
KIHEREHERE TUUU
Post a Comment