Huu ni Mwaka wa wanawake2015πππNatangaza Nia Ya kugombea Nafasi ya Urais2015.... Tarehe 27june2015 Ubungo Plaza....πͺπͺπͺπͺπͺWanawake Tukiamua Tunawezaaaaaasaπππππππππ
Tuache Uoga Majukumu ya kulea familia ni makubwa kuliko ya kulea Taifa. Huu ndo wakati sahihi wa kuwaonyesha kwamba Si tuu kuwalea wao bali hata Nchi twaweza kuisimamiaπππ Wametutelekeza na familia lakini tukasimama... Kama tumeweza kuwalea waume zetu na watoto wetu, ndugu jamaa na marafiki, tutashindwaje kulea Taifa???? In short hata sasa sisi ndo engine ya Taifa!!! Na tujitawadheeeee.... Ngachokaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment