Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Lina Sanga, jana kupitia kipindi cha ala za roho cha clouds fm msanii Lina Sanga alifunga na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.
- Lina 'Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshuka na kuumia nisidanganye kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao'
- Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujaozito wa jamaa au hana..,
2 comments:
Mwe mwe mwe mweee! Kumbe Lemutuz alisema kweli, kila mtu akitaka kupanda kupata kiki mjini lazima ajibandike kwa Wema. Mtu mshaachana sijui miezi miwili imepita, umemuona kapiga picha na Wema unakasirika? Tena unaenda kabisa kukimbilia kwenye vyombo vya habari kutuhumu, kwani bado bwana wako? Au Wema alikuwa Bestie wako kusema kwanini katoka na x wa bestie wake? Mbona wewe ulipiga mapicha ya ajabu ajabu na Diamond tena wakati akiwa bado yuko na Wema na uhusiano wao ulikuwa wa wazi na si wa kificho kama wako lakini bado hukuona kuwa hilo ni kosa na wala hukumsikia Wema anafungua mdomo wake, leo kwako kulikoni?
Mbona na nyie kajala mmempigia kelele kutembea na mme wa mtu kisa tu aliwahi kumgonga wema we Anon acha unafiki alichofanya wema hakina tofauti na kajala. b@#$%ts tu wote. unatetea uozo huo. malaya wa mjini hamna simile ninyi wema akinya sio mavi, wakinya wengine ndio mavi. akili za mbayuwayu
Post a Comment