eeeh ni nini kikubwa hasa wanafundishaaa? au mtoto akitoka apo anaenda straight harvard au yale au oxford mweee sasa mpaka amalize hizo grade umetumia bilioni ngapi chinekeee
nilisoma IST highschool and i can honestly say hakuna big difference than regular chartered schools. just a waste of money especially in lower classes.
Wapuuzi tu.kwanza sidhani km hizi school fees zinakuwa regulated na any goverment body,wanajipangia tu bongo. Kuna mtu alishawahi niambia wanatoza usd elfu 20. Yani nimeiona hiyo form nimeishiwa nguvu duh.
this just means we should open a school and label it "International" and make BIG money, NURU :D it's fukkin outrageous much more expensive than private schools here in the US, and you still get the same education than public school, it's just that with private schools here, their teaching strategy is different and more homework, with most public schools, location is important.. if the school is in the hood, imagine what kinda kids go there!!
ni kweli wanacharge,wanasoma watoto wa expatriates. makampuni ya Oil and gas and the like. very expensive na unakuta mtu mmoja anakuja na 4 kids u can imagine how the company spends on expatriates. watz salary za mawazo..............
We anon wa mwisho umesema exactly nilichotaka kusema. Hii shule ni kwa ajili ya EXPATRIATES!!!! ndio maana viwango vyao wameweka juu kupindukia ili waswahili wasiwavamie. Hivi mnadhani wazungu wanataka watoto wao wachanganyike na watoto wa uswahilini? Hao wachache weusi wenye kusoma hapo ni wale ambao wazazi wao wana uwezo-- kwa maneno mengine ni wale watoto wa MASAKI/MIKOCHENI/MSASANI nk watoto wa UZUNGUNI. Waswahili nyie endeleeni kuchapana fimbo kwenye shule zenu za Kata...hahahah Wazungu bwana wanajidai wanapenda watu weusi lakini ukweli utabaki ule ule kwamba hata wakiwa nchi za watu weusi hawataki kujichanganya, wanataka kuona wenyeji wao mara moja moja wakijisikia. Yani nikionaga wale wanawake wa kibantu walioolewa na wazungu wakitukana wabantu wenzao wakidhani wao wako class tofauti huwaga nacheka sana rohoni.. hawajui hao partners zao wanawafikiria wao hivyo hivyo kama mbantu mwingine yeyote-- hawa watu huwa hawatofautishi watu weusi-- kwao mwafrika ni mwafrika tu. Nuru im sorry kupost comment ndefu hivi kwenye blogu yako. Huwaga napenda kusoma tu ila leo hii topic imenigusa sana.
9 comments:
What??? they are not serious kindergarten Million 39 na usheee
YAANI CJUI NIJENGE AMA NISOMESHE,,,
eeeh ni nini kikubwa hasa wanafundishaaa? au mtoto akitoka apo anaenda straight harvard au yale au oxford mweee sasa mpaka amalize hizo grade umetumia bilioni ngapi chinekeee
nilisoma IST highschool and i can honestly say hakuna big difference than regular chartered schools. just a waste of money especially in lower classes.
Wapuuzi tu.kwanza sidhani km hizi school fees zinakuwa regulated na any goverment body,wanajipangia tu bongo. Kuna mtu alishawahi niambia wanatoza usd elfu 20. Yani nimeiona hiyo form nimeishiwa nguvu duh.
this just means we should open a school and label it "International" and make BIG money, NURU :D it's fukkin outrageous much more expensive than private schools here in the US, and you still get the same education than public school, it's just that with private schools here, their teaching strategy is different and more homework, with most public schools, location is important.. if the school is in the hood, imagine what kinda kids go there!!
ni kweli wanacharge,wanasoma watoto wa expatriates. makampuni ya Oil and gas and the like. very expensive na unakuta mtu mmoja anakuja na 4 kids u can imagine how the company spends on expatriates. watz salary za mawazo..............
We anon wa mwisho umesema exactly nilichotaka kusema. Hii shule ni kwa ajili ya EXPATRIATES!!!! ndio maana viwango vyao wameweka juu kupindukia ili waswahili wasiwavamie. Hivi mnadhani wazungu wanataka watoto wao wachanganyike na watoto wa uswahilini? Hao wachache weusi wenye kusoma hapo ni wale ambao wazazi wao wana uwezo-- kwa maneno mengine ni wale watoto wa MASAKI/MIKOCHENI/MSASANI nk watoto wa UZUNGUNI.
Waswahili nyie endeleeni kuchapana fimbo kwenye shule zenu za Kata...hahahah Wazungu bwana wanajidai wanapenda watu weusi lakini ukweli utabaki ule ule kwamba hata wakiwa nchi za watu weusi hawataki kujichanganya, wanataka kuona wenyeji wao mara moja moja wakijisikia. Yani nikionaga wale wanawake wa kibantu walioolewa na wazungu wakitukana wabantu wenzao wakidhani wao wako class tofauti huwaga nacheka sana rohoni.. hawajui hao partners zao wanawafikiria wao hivyo hivyo kama mbantu mwingine yeyote-- hawa watu huwa hawatofautishi watu weusi-- kwao mwafrika ni mwafrika tu. Nuru im sorry kupost comment ndefu hivi kwenye blogu yako. Huwaga napenda kusoma tu ila leo hii topic imenigusa sana.
Karibu uchangie cku nyingine wala sio ndefu umechangia kilichokugusa na Anon Wa. 9.43 kumbe eeeeeeeh hhahhahahhhhha ndiomaana the charges r so high,,,
Post a Comment